@imashu26:

JOKES EMPIRE ✔️
JOKES EMPIRE ✔️
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 22 November 2025 13:01:22 GMT
3642042
244523
3700
23068

Music

Download

Comments

birundu6082
Quevoh :
uchungu WA mwana haujuae ni body guard WA sonko
2025-11-22 17:21:51
7027
stevemotifs254
TODAY'S BEST CLIP😁💔😂 :
😂😂😂 yakimwagika hayazoleki…. Nmemwaga akapata mimba😂😂😂😂😂
2025-11-22 17:49:04
4467
champee073
🦸‍♂️𝓗𝓾𝓼𝓼𝓮𝓲𝓷💸 :
nimetenda wema na nikasimama apo najua wanaskia kujinyonga😅
2025-11-22 18:00:24
2176
lesseps.ke
⚡LESSEPS⚡ :
mtegemea cha nduguye hufa maskini Oburu amechukua ODM WAHENGA HAWAAMINI 😆🥵😆🥵😆
2025-11-23 08:40:42
2850
mercyngao696
🩷🤍 Mercy🤍🩷 :
Eti mtoto humleavyo ndivyo akuavyo, mamangu hakunilelea Kwa club na nashinda huko na wababa. Wahenga hawaamini🤣🤣🤣
2025-11-23 05:09:24
2394
mose.wahaya
@odhiambomosewahaya :
asiye funzwa na mamaye amegraduate after kufunzwa na Government scholarship!!
2025-11-22 19:15:16
767
uncle.robah254
Uncle🇰🇪Robah🇬🇧 :
siku za mwizi n arubaini nimeshikwa na siku ya kwanza😁
2025-11-22 19:44:23
1817
maxiemaina
Maxieee :
mficha uchi amepata twins😂😂
2025-11-23 08:24:37
1312
biancapretty5
Bianca💖 :
Ati Samaki mkunje angali mbichi.. Guess what.. namkunja angali ameiva😂😂
2025-11-22 21:34:31
734
achieng_216
finds by Tee ✨ :
kikkulacho ilinipata bila nguo
2025-11-23 07:04:47
1247
gacerikawakanya7
catelinnah4 :
maji ni nzito kuliko damu Tash amekwamilia watoto wa kanyari
2025-11-23 11:52:24
766
user6175719366585
just a gal❤️ :
Guys it's my birthday 😊
2025-11-23 06:42:16
254
cecilymwas2
@cecilymwas2🇰🇪 :
mhenga after reading your comments 😏😏
2025-11-23 13:36:01
300
imashu26
JOKES EMPIRE ✔️ :
Wahenga walishanga sana kuskia siku yangu njema ilionekana jioni 😂🖐🏽
2025-11-22 15:39:25
868
little_darwinn
🦇 :
Wahenga wanashangaa tu Oscar Sudii ako na mali, na walisema AKILI ni mali.😂😂😂
2025-11-22 21:25:22
520
benjayson
ben ohji :
mpanda ngazi amepanda bangi saai hazishuki😂😂
2025-11-22 20:28:28
867
maundujustus670
mj291920 :
aliye juu mgonje chini design nimetulia uku juu awaamini
2025-11-22 18:02:09
355
reddiamond071
Daddy..🤟 :
mwenda tenzi na OMO amerejea na SUNLIGHT 😂😂😂😂 wanaumwa
2025-11-23 09:31:25
344
unholic_manu
𝐈'𝐦 𝐌𝐚𝐧𝐮 ⛎ :
nimempenda anayenipenda, Otile haamini 😂
2025-11-22 19:12:28
278
otienowisdom
Hunter wa homabay 😎 :
fimbo ya mbali inaona moto, namgongea vilivyo😂
2025-11-22 21:32:39
159
__raymie1
_RAYMIE🌸 :
Jogoo wa shamba kawika kariakoo wahenga hawapokei simu😂
2025-11-23 07:51:53
231
popsynjenga366
njengapopsy👑 :
sijaskia la mkuu na bado mguu uko sawa ....wahenga wanadhani ni AI🤣😂
2025-11-23 06:49:49
377
gavinflexie1
User went mad ✅ :
kidole kimoja....kimempiga finger
2025-11-23 19:36:21
127
user65243683188814
Lucïfer :
wahenga hawaamini dawa ya deni ni kukosana juu silipi😂😂
2025-11-23 11:15:35
264
consolly
𝓒𝓸𝓷𝓼𝓸𝓵𝓵𝔂🐾🔗 :
Asiyefunzwa na mamae amegraduate🎓😮‍💨
2025-11-23 18:40:37
22
To see more videos from user @imashu26, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About