@madrasatrawdhwa1: #Nimemkumbuka mama mzazi mwenye huruma mama nakupenda snaa cha kukulipa me sina#tiktokkenya#tiktoktz🇹🇿🇹🇿🇹🇿 @Habimana Haruna Pro @Officia_Rahma_Tashtity @King Sharuu @Farid Mussa @ibrahim_bacca @Mussa Tallah @Shaziri abasi muwaza kifo @Ibrahim Capable
MADRASAT RAWDHWA
Region: TZ
Sunday 23 November 2025 09:52:22 GMT
Music
Download
Comments
Razia :
Allah awajaze kher mayatima wote ,awaongoze dunia n akhera .😢😢😢
2025-11-23 13:39:45
261
Miguel Griffines :
Allah warehemu mama zetu🤲
2025-11-23 17:34:27
132
Nakhfat :
mashallah allah awalinde na husda za binadamu amiiin
2025-11-23 10:00:24
46
shrigil :
😭😭😭😭 Allah awape mwangaza kwenye makaburi Yao wote waliotangulia🤲
2025-11-24 18:57:10
45
Idd Bin Sheikh Mohamed Idd❤️🤍 :
MY MOM MY JANNATU FIRDAUS❤️🤲
2025-11-23 17:02:08
44
Malkia mkuta :
kaswida inaitwaje hii
2025-11-25 18:23:09
8
mrs dullah boy :
my mom my jannatu fridaus miss you mom😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2025-11-23 18:33:35
18
ALONE :
Nimemkumbuka mama 😢
2025-11-23 13:30:48
13
💙 Lopez 💙 :
mungu tulindie wazazi wetu🙏🙏
2025-11-24 08:32:43
10
Innocentgwal001. :
Allah awajaze kheir mayatima wote ,awaongoze dunia n akhera
2025-11-23 17:25:40
9
Halima Yahaya :
umeniumiza sana huo wimbo😔😔
2025-11-23 11:57:15
6
Shaa🥰🥰♥️ :
😭😭😭😭nimemkumbuka sana mam yangu
2025-11-25 18:31:05
7
Luqman :
Allah atulindie wazazi wetu na kuwajaalia mwisho mwema na pia kuwa rehem waliotangulia
2025-11-23 18:58:42
6
Mrs.salman💕🔐 :
Dogo yupo sawa huyu ❤❤❤❤
2025-11-23 16:39:09
7
shazimina 💞 :
Mauti 😥😥😥😥😥MUNGUU awarehemu wote waliyo tanguliya Amin 🙏
2025-11-25 15:51:43
7
prince Hazrat :
I can't hold my tears
2025-11-23 14:01:14
6
254michi :
😭😭😭 pole sana nyote mlofiliwa na wazazi mungu awarehm
2025-11-24 10:58:15
5
JUMA👳🧕 :
ewe mwenyezi mungu naomba umlinde mama yangu yangu 🤲
2026-01-20 14:42:50
6
Khalfizo official 💥 :
ILOVE YOU SO MUCH MOM🥰🥰
2025-11-23 17:03:34
5
mamake :
Allah ampe maisha marefu mamangu 🙏♥️♥️
2025-11-23 18:13:05
5
gaucho jr :
allah atupe mwisho mwema
2026-05-20 16:10:06
3
Mrs s💋🌹♥️ :
Nakupenda mom ❤️
2026-01-21 14:56:43
4
Maryam :
mungu awajazie baraka mayatima wote 😥😥
2026-01-24 20:57:39
2
Mr doctor :
Nawakubal sana
2026-02-07 19:06:05
1
To see more videos from user @madrasatrawdhwa1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.