@kibalimedia: DO YOU HAVE THIS LINE IN YOUR HAND

KIBALI MEDIA
KIBALI MEDIA
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 23 November 2025 15:54:54 GMT
4273192
157255
15317
46974

Music

Download

Comments

naima.287
Naima 2 :
na tukikopesha hatulipwi
2025-11-24 08:38:19
3396
prettyishaa219
pretty Ishaa :
na tuna hasira mbaya kabisa 😁😁
2025-11-23 18:51:03
2633
dorcasmokua254
DORCAS :
ndio niko nayo lakini huwa tunapata wanaume wabaya wenye hawana future kama ni kweli nipe like
2025-11-26 08:04:48
3780
user3718536980723
Joyce Owendi Schwieger :
na hatunaga marafiki
2025-11-25 07:11:43
2213
val9215
val :
na hawa wakiota kitu inafanyika 🤗🤗🤗🤗🤗
2025-11-25 06:47:19
1274
user9230197751208
eunice :
hata ukiwa na shida husaidiwi ila watu wanataka uwasaidie
2025-11-25 12:36:48
999
lynnandoli
lynn76 :
madeni yangu hayalipwi Nachukiwa na familia Ndoa inanisumbua Maisha nangangana Niko Na hasira Nikiota ama nikuonye kitu lazima itimie Nikikosana Na mwanaume anafiliska
2025-12-03 17:11:09
286
miss.chonjo
miss.chonjo@🥰🥰 :
halafu watu wanatuchukia wanatuumiza lakini sisi tunawapenda
2026-01-09 09:26:24
205
sophiataliq1
sophiataliq1 :
Na tunafanya wema ila tunalipwa ubaya
2026-01-02 11:49:17
158
mozakhalfan0
mo beauty💕 :
ni kweli tunachukiwa na familia, hatuna bahati ya mahusiano, tuna hasira sana ,hatuna bahati ya kusaidiwa ni wepesi tukiota jambo linatokea
2026-01-05 16:53:11
95
coco.princesse5
coco princesse :
na ukiota ndoto zinakuwa za ukweli
2026-01-06 18:38:38
40
sharon00168
QUEEN 👑 TINAH❤️ :
blood group O mko wapii
2026-02-08 14:35:17
47
mimahsaloon
@mimah saloon :
na tunapenda kusaidia watu alafu mwisho wa siku wanatutenda vibaya na hatukomi
2026-02-10 14:06:04
17
bettykhabayi410
Pretty Bee🥰🥰💋💋 :
Na tunachukiwa bila sababu😥😥😥 God why
2026-01-16 14:18:28
6
jesca.pamba8
jescapamba :
kuna wakati najihic kama mchawi
2026-01-08 09:19:16
12
mutisomary
marymutiso771 :
na tukipenda tunapenda na roho Moja but tukikukataa wee kwisha
2026-01-15 07:59:31
8
faithmuema97
Faithmuema :
tukikopesha hayulipwi Tena marafiki hatunanga🙏👍
2026-01-15 14:51:26
12
nyangoma278
Binti Sayuni :
tuko na hasira kali pia wepesi kusamehe pia hatupendi kuona mtu mwingine akionewa
2026-01-13 11:00:56
13
priscapastory5
priscapastorypris :
nikweli kabisa tunateseka sana namungu anatulinda sana mungu atuepushe mamabalaa
2026-02-07 16:17:08
6
user58357688263811
luny 1421 :
na hatusaidiwi japo sis tunawasaidia wenzetu
2026-02-08 14:18:15
6
dorice.barnaba
Dorice Barnaba :
Na tunachukiwa sana sijui kwanini
2026-01-06 18:14:55
27
carryate742005
Nellya Chigula :
tunasalitiwa sana na watu wetu wa karibu
2026-01-02 13:59:00
16
shamezbeauty
shamezbeauty :
na tunatesekaga sana kwa mahusiano pia hatunaga marafiki was ukweli
2025-12-31 11:19:00
20
maggievitalis
maggie :
ni kweli,hatuna bahat ya mahusiano,tunajua kupenda,ila tunaktn na wanaume wabaya sana
2025-12-31 08:00:04
35
cosmetics304
vunja bei cosmetics :
na hatuwag wanafiki tunasaidiag kwa upendo lakin sisi hatusaidiwi
2025-11-26 08:38:41
194
To see more videos from user @kibalimedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About