@juice_asilia: Tango, tangawizi & limao detox. Tumia detox hii kupunguza uzito na kuondoa kitambi kila asubuhi kabla ya kula kitu chochote. #foryoupage #detoxdrinks #cucumber #fyppppppppppppppppppppppp #viral_video
juice_asilia
Region: SG
Monday 24 November 2025 12:15:39 GMT
Music
Download
Comments
baby b 💙 :
jmn inafaa kwa mtu anaenyonyesha nisije kukata maziwa
2026-09-03 20:05:38
2
chimumy mirry :
me natumia ni mnene ila tumbo cna kabisa natumia kila siku asb
2025-11-25 10:11:34
33
tuma :
haipungizi matako🤣🤣🤣
2025-11-26 18:30:26
10
pretty-lioness🦁❤️ :
na unatumia kias gn
2026-01-04 11:55:59
7
Mdogoakemchina Backup :
Huyu mtu anajibu coment za watu hadi raha yaani hongera sana 🥰
2025-12-10 15:08:08
16
Rebeca Abraham :
dada unawajibu watu comment Hadi raha je kama mtu anakunywa hiyo afu anakula sana kitambi kitapungua
2026-08-31 10:10:27
2
Sauti ya motisha🎙️ :
Hii kitu ni hatar nilikuwa buju jamn 😅sahiv Niko kadogo kadogo karembo
2026-08-16 13:35:44
5
tausi filisi :
Kwa siku unakunywa mara ngap
2026-09-02 11:59:30
1
gniceasili_wakala_dar :
dear lazima kuchujaa?
2026-08-20 14:55:09
2
momy muneer OG👌 :
Natumia tangawizi tupu Leo siku ya 4
2026-02-03 08:55:11
6
🫧 KYM ❤️👑 :
ad kitambi Cha uzazi etii 😂🥹
2025-12-15 21:30:16
5
🌸 :
Unaweka maji ya moto au ya kawaida
2026-09-06 07:19:06
0
just Sophie😇 :
unaweka na sukari??🫣
2026-07-21 12:33:09
0
florauser9521898790608 :
Nina mtoto wa miezi 3 jee inanifaa kutumia
2026-08-15 13:50:25
2
Deemakeup👌 :
imenipunguza kilo na ninaendelea ninzuri sana na nilikua na kitumbo cha chini naona ndo kinasepa ivyo
2026-04-29 16:42:01
3
Nizy🌹g&c👨❤️👨 :
nitumie n maji y moto
2026-02-02 13:01:51
0
salher27 :
Nikiweka kwenye fridge niwe nachukua kias asubh na jioni ni vizuri ??
2026-07-16 17:52:33
2
Rebeca Abraham :
eti nauliza ukitumia tangawizi nyingi inaweza kusababisha kubleed sana nimetumia siku nne naona kubleed sana
2026-09-03 08:15:07
4
Bi aisha🤎 :
yani nimekupenda bure unajibu coment adi rahaa🥰🥰acha tutokomeze shikamoo ambazo sio zetu😊
2026-01-22 06:28:04
2
@malkitwalbu🦅 :
kwa siku mara moja au ?
2026-01-24 03:25:42
0
Gloriah Katey🥰🙏 :
Nimependa hii combo, nitaanza kuanza kesho 1st Feb najua hiki kitambi kitaisha tuu😔
2026-01-31 17:19:43
0
savageasr2 :
mee sitk kupungua mwil natk kitambi kitok 2
2026-04-08 08:54:21
0
rebboss :
kwa mfano unataka kuitumia jioni , je unatumia after kula??
2026-04-01 08:57:34
1
@Kerry boh :
kindly mtu aniambie hiii nini na nini?
2026-01-29 03:11:35
2
Official B ♒️ :
anae nyonyesha😀
2026-02-05 10:38:58
0
To see more videos from user @juice_asilia, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.