@ann_ortiz_2307: mongol pencil available in my showcase #mongolpencil #pencil

Ann Ortiz;༊
Ann Ortiz;༊
Open In TikTok:
Region: PH
Tuesday 25 November 2025 01:14:09 GMT
288
13
1
14

Music

Download

Comments

strawberryshrtcke0
𝕁𝕦𝕤𝕥𝕗𝕠𝕣𝕪𝕠𝕦𝕡𝕒𝕘𝕖✨ :
Perfect neto lalo na sa anak ko mapagwala ng pencil mi heh🥰🥰🥰
2025-11-25 01:27:09
0
To see more videos from user @ann_ortiz_2307, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

USINUNUE SCANIA 113 KWA HISIA, NUNUA KITALAMU! 🚛💎 Scania 113 inajulikana kama
USINUNUE SCANIA 113 KWA HISIA, NUNUA KITALAMU! 🚛💎 Scania 113 inajulikana kama "Mkombozi" wa mjasiriamali anayeanza biashara ya usafirishaji. Ni chuma chenye uwezo mkubwa, mfumo rahisi wa mecanic, na uvumilivu wa hali ya juu barabarani. Lakini, kwa sababu ni gari iliyopendwa sana, sokoni kumejaa "maiti" zilizopakwa rangi mpya. Usinunue Scania 113 kwa kuangalia uzuri wa kioo au mlio wa injini kwa mbali. Hapa Ahmad Heavy Duty, tunakupa mambo ya msingi unayopaswa kuyazingatia kabla ya kuandika hundi ya mamilioni: 📍 1. ENGINE BREATHING & COMPRESSION Usiishie kusikiliza mlio wa injini. Lazima ukague "Engine Breathing." Fungua kifuniko cha oil gari ikiwa imewaka; ikitoa moshi mwingi kama bomba la treni (Excessive Blow-by), jua compression imeshuka. Injini yenye pumzi safi ndiyo inayokuhakikishia ruti za mbali bila kupunguza nguvu. 📍 2. KUKATA SAMPO YA INJINI (MAIN & CON-ROD) Hii ndiyo siri ya wajanja! Hatuangalii tu injini kwa nje, tunashusha sump kukagua Crankshaft. Je, ni Standard (STD) au imeshasagwa ikawa Oversize? Injini Standard inakupa uhakika wa maisha marefu na thamani ya gari inabaki juu. Ukivuta gari ambayo tayari ni 0.75, unanunua bomu linalosubiri kulipuka. 📍 3. GEARBOX & DIFFERENTIAL (THE POWERTRAIN) Gia lazima ziingie kwa ulaini (G-Series Gearbox). Lakini zaidi ya hapo, lazima ukague Differential. Je, meno ya Axle Shaft (Sampo) yamesimama au yameanza kuwa machungu? Shaft iliyochoka ni hatari ya kukatika njiani ukiwa na mzigo mzito. 📍 4. CHASSIS & COOLING SYSTEM Scania 113 haitakiwi kuwa na nyufa (cracks) wala welds kwenye chassis. Pia, kagua mfumo wa maji; radiator iliyotumia maji ya chumvi inakula engine block kwa ndani (corrosion). Hakikisha mfumo wa kupoza uko imara kuzuia "Overheating" inayoweza kuua injini yako site. #tiktokviral #trending #challenge #ahmadclass #goviral

About