Natembeya huwa anasema ukweli, we got much to fulfill😳
2025-11-26 09:01:41
66
GoK :
we have a long way to go
2025-11-25 16:24:51
38
Nafula back up :
mtuaibishe kabisa, yaani mnauza kura na soda? hii ni aibu, aibu aibu aibu
2025-11-26 15:43:25
18
Fox :
natembeya Huwa anasema ukweli, soda na mkate ndio inafanya mnaimba hivi
2025-11-26 04:33:36
15
Boss hapendi :
waluhya wenzangu soda tuu,afadhali hata mzinga bana
2025-11-26 07:39:44
12
Majy :
hawa waweke tu sumu kwa soda wakufe wote ju wanafanya tunadarauliwa walai
2025-11-26 12:12:19
12
Nash :
woiye, aki my luhya people
Yani ni soda na mkate mnaimba hivi
Aki where did we go wrong
Wengine wanapelekewa sirias project but hapa ni mkate na soda inawahangaisha hivi 😥
2025-11-26 11:25:41
11
willydee254poze :
wamama mkate ndo inafanya muimbe ujinga
2025-11-27 20:19:19
8
zephat :
ndakwa,must,win🥰🥰
2025-11-26 05:50:26
7
festoo :
We have a long way to go as luhyas.. Soda na mkate💔💔💔weuh
2025-11-26 20:59:14
5
N :
when shall we be civilised my pipo mnatuangusha saana
2025-11-27 11:01:53
4
musagany abdul :
Akuna jen zii apo
2025-11-28 10:54:51
3
WUON NYIRI 3 :
Karanga Karangaaaaaa😂😂😂
2025-11-28 06:55:05
3
de Cuisine. Clinton'S :
am a luhya and proud siku moja itajipa
2025-11-28 10:50:01
2
♕︎✰♔︎._ᴍᴡᴀᴄʜᴏғɪ_.♔︎✰♕︎ :
mara kidogo kidogo unamuona madhee apo anafurahia soda 😂😂😂
2025-11-28 12:32:34
2
Dee🦋 :
Compain zimeanza nipate MAMANGU kwa hii ufala
2025-11-27 16:34:55
2
Kento 18 :
tuaibisheni kabisaaa nkt! mlitsimbwa
2025-11-26 16:26:10
2
Tr Antony :
umaskini aki😢😢
2025-11-26 11:29:45
1
lilysb22 :
endeleni kuabisha waluhya kabisa na chakula
2025-11-27 07:20:28
1
calvo :
poverty is wicked for real
2025-11-26 11:31:29
1
shinny boy :
mnatudalilisha sisi waluyha nyinyi old generation bana
2025-11-27 05:38:46
1
mninja :
uyu ni babu yangu ananiabisha ivi siendi home hii december
2025-12-01 11:24:53
1
Lubu :
chukuweni ID za hawa wasionekane karibu na polling station
2025-11-26 10:51:51
1
user7820098374552 :
what a shame kuuza kura tumbo yako.
2025-11-27 07:42:21
1
miss donne :
kabaras nao hukua wajinga ajabu mrudi tu kwa wakale nyinyi
2025-11-27 13:34:00
1
a_tedd3 :
Walai siendi ushago hii december. Am embarrased
2025-11-26 20:02:33
1
400769389740d :
mnakula lakini ni failure 😂😂
2025-11-27 17:08:41
1
jimmy abeba 1 :
Singapore benchmarking in progress
2025-11-25 12:06:05
1
angie :
Yani soda tu mmeanza kuimba.. poverty is bad
2025-11-26 14:29:40
1
Oscar Lumumba :
pora mluyha ameshiba ataimba
2025-11-28 08:33:47
1
queen bee :
Sasa waluhya shinda yenu n nn aki ata sai mm n mturkana
2025-11-28 06:54:48
1
Smarter :
kama umeona mzee Wa kilemba ya waislamu gongs like😂😂😂
2025-11-28 06:42:04
1
victorgvikzz :
confused atoms then mlie after next year kwani hamjai kunywa soda
2025-11-26 18:52:26
1
The EYES OF GOD :
Ruto said waluyha wanjinga wote ni chakula tu wanalewa wanaanza kuwa political praise and worship 😂😂😂
2025-11-28 05:19:03
1
Kevin Museve :
kuleni Kura yenyu tumbo kubwa nyinyi
2025-11-26 18:18:17
1
Richard yukwe :
aki njaa ni mbaya,nani alituroga kweli
2025-11-26 17:16:34
1
𝑳𝑼𝑶𝑩𝑨 𝑱𝑵𝑹 :
dawa ya mluhya enywe ni chakula tu
2025-11-27 20:29:01
1
The Gooner :
ground imekaa mbaya
2025-11-27 20:44:15
1
Mishieni_Law :
But politics life mbaya😂
2025-12-24 10:08:43
1
Anonymous :
Hukufanyia poa Cosmo Choyii
2025-11-25 16:23:22
1
engo :
whoever bewitched luhyas...mkate na soda...
2025-11-25 18:13:00
1
Movember jaka min :
poverty is real in Kenya
2025-11-25 19:44:30
1
Bravo 6 :
hii mbogi ndio iko na kura imeficha kwa leso, na hii mbogi ndio itapitisha ndakwa..tukutane Friday hapa😁
2025-11-26 09:06:59
1
@pasliano :
real meaning of tumbocrats
2025-11-27 11:53:34
1
To see more videos from user @billy.arocho, please go to the Tikwm
homepage.