@awakenedgiant1: Huwezi kutembea katika mawimbi ya juu kama upendo, amani, uhuru, furaha, na utajiri kama nafsi yako imekamatwa katika mawimbi yenye uzito mkubwa. Fanya mambo haya ili kuongeza mawimbi ya mtetemo wa nafsi yako. Bila kusahau shukrani. #RiseVibration #Mafanikio #Uhuru #TiktokTanzania #spirituality

Awakened Giant
Awakened Giant
Open In TikTok:
Region: KR
Tuesday 25 November 2025 13:10:47 GMT
30878
1599
59
161

Music

Download

Comments

adonai.tv
ADONAI TV :
Kila kitu ni nishati na Kila kitu kinamtetemo. somo zuri kwa chosen ones.
2025-11-25 13:56:25
15
dory123
dory :
ni kwelii mazingira asilii yanasaidia mno🙏
2025-11-26 08:07:12
2
ladenrashe
laden rashe :
bro unarudia rudia maneno Kuna wengine huku chini wanaongea ujue
2025-11-27 18:03:35
1
rfktvonline2
The C.E.O Fs. Kavishe🇹🇿🇹🇿 :
lugha nyepes kabisaa kuelewa
2025-11-28 04:36:17
2
sadicka850gmail.c
[email protected] :
Asante master
2025-11-27 13:29:33
0
user5734817285732
source :
mambo ya kuongeza mtetemo wa mawimbi ni upendo,furaha,amani,alkaline food na mwanga wa jua
2026-01-18 16:12:55
3
mamaafrika_verhalen
mamaafrika_verhalen :
swali, umesema kuua inapelekea low vibration, sasa Mimi nachinja kuku, hii inaweza kupelekea low vibration?
2025-11-26 06:43:12
1
winstone225
winstone 🚾♨️♨️ :
i got u brooooooooooooooooooo
2025-11-27 10:23:38
2
almass.sully
contaw :
dah bro ww unaakili San
2025-12-27 04:15:59
1
gravasiano
Jg :
Some zuri sana, Asante kaka
2026-01-24 11:48:04
1
dianahjepkoech7
Dayo :
well said bro👍
2025-12-12 06:04:38
2
rizzy771
rizzy771 :
ahsante Sana
2026-01-21 20:47:14
1
oscado.sans.paniq
OSCADO SANS PANIQUE :
kweli Kaka
2026-01-12 19:20:59
1
mishemishe49
keita boy :
safi sna kaka unatufunga mno big up
2026-02-02 17:52:57
1
ininga159
ininga159 :
please unapandisha vipi?
2026-01-07 16:07:48
1
lilpabloo45
lilpabloo45 :
uhalisia kabsa 🔥
2026-01-25 18:56:48
1
dronehunter999
Drone Hunter :
999%
2026-01-26 15:53:17
1
ashley22139
Ashley 🥰 :
wow
2025-12-28 21:57:02
1
jacqueslioness
Wildflower :
Aise nimetoka kwenye mahusiano yanafyonza energy yangu
2025-11-26 18:54:20
2
sabrakitivo
Brinah collection 💕 :
shurkan ❤️❤️❤️
2025-12-07 23:11:09
1
ifath.ifu
Ifath Ifu :
asante sana kaka
2025-11-26 15:50:24
0
munatronix
MUNA TRONIX :
nakubali kiongozi🙏🙏
2025-12-11 11:28:10
1
mama.kimaro
mrs chibaba :
Asante mwalim
2025-11-26 10:27:00
0
mokagenus73
Best 73.0 :
Unajua Sana Man.👊
2025-12-05 14:11:02
1
magdalinemteule.com
magdaline mteule :
very true umenisaidia
2025-12-02 17:40:51
1
To see more videos from user @awakenedgiant1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About