Nikiwa 1st yr pale SUA tulipata Kaka Mmoja Alitupa hii intro tukadharau Semister ya kwanza Tulipata Sup Darasa Zima🤣🤣🤣🤣Tulivosapua ile Sup Tulimheshim kuliko Mkuu wa Chuo😂😂🤲
2025-11-26 12:21:07
15
Elly prukit :
mbunge umesoma bihawana boys et
2025-12-22 11:24:55
0
OFISAA :
duh yaan mwanafunz mwenzenu mnamskiliza ivo
2025-11-25 19:27:52
5
nepaltz :
Watu wanachukulia poah wakati me nilipewaga ushauli mpaka na mmama wa usafi Mungu amkumbuku🙌🙌😂😂😂
2025-11-28 22:20:48
3
adilsonkimmich :
mpka odds mnafanyia discution 😂😂
2025-11-26 15:19:48
2
kimoda@ :
kwani na huyu jamaa anae ongea ni wa first year?
2025-11-27 20:38:45
0
🅛🅔🅦🅘🅢 :
NIC UKUUU 😂😂😂😂
2025-11-26 21:13:18
3
Wiseley :
nice introduction brother
2025-11-26 18:27:48
2
Jay :
asante Mungu nishamaliza kusoma sitasoma tena😂😂😂
2025-11-26 05:14:12
5
Emmanuel Wenzeslous :
Kuna mwamba mmoja nyuma huko baada ya hapa unakuja kumuona UE tuu
2025-11-27 08:57:36
4
#geeasme🦋💕 :
wameshaanza kuona chuo n kigum😂😂🙌
2025-11-27 16:46:19
1
Nundujr12 :
🤣🤣 Mwanafunzi mwenzangu hana chakuniambia mimi wakati nayeye ntakutana naye kuomba Makap mwisho wa semister😂
2025-12-09 15:31:35
1
Mac 👣🎮 :
kuna wale hizo speech zilikua zinapita huku zinatokea kuleee😂😂😂
2025-11-26 15:14:28
1
WilB KISAMO :
namba namba za group
2025-11-26 03:57:55
2
invy :
noreen I see u
2025-11-26 11:05:08
1
clinton_swebe :
mbona kama cbe hapa dsm
2025-11-26 22:26:27
1
chapo :
GPA ya Barcelona na Chelsea hakuna aliyetoboa ja a wa Barcelona
2025-11-26 20:51:30
1
msagatyJR :
uongo
2026-01-20 08:58:30
0
overdose💊🥼🩺 :
hamisi 😅
2026-04-25 04:49:01
0
MUQTAR 💙🧘♂️ :
kuna mechatronics engineering in udsm?
2026-02-25 11:19:50
0
ramadhani hamisi :
fact,,
2026-01-25 17:54:00
0
Baraka Reqnald Kihodoqo :
#ATC #MECHATRONICSANDMATERIALENGINEERING
2025-11-28 18:46:52
0
To see more videos from user @dmi_celebritiestz, please go to the Tikwm
homepage.