@miss_mariellah: Eeey nii competition ya wabaya na wazuri haitawai isha🫴😂#trend #youngmom #brunorhymestar #God #missmariellah @Bruno🥷🎬

Miss_Mariellah
Miss_Mariellah
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 26 November 2025 10:52:56 GMT
380491
37045
642
991

Music

Download

Comments

joy_kajara
Kajara🤍✝️ :
Wangekuwa watamu hawangetapikwa na samaki😭😂
2025-11-26 11:37:56
2306
timinahmerie
Timinah🦋 :
wangetupea attention hatungeenda kuongea na nyoka😔
2025-11-26 10:58:22
1753
user5619298519661
carol N :
Wangekuwa werevu hawangenyolewa nywele😂😂😂
2025-11-26 13:45:08
357
bloominglotus85
🪷 :
Malaya tungekuwa wabaya hatungeosha miguu ya Yesu.
2025-11-26 14:49:45
103
manchesterunitedgirlfri1
Jackie❤ :
wangekuwa wazuri mama ya Yesu angezaa nao😂
2025-11-26 13:40:16
331
h34rtsfor.vee
☄️3nchanted🪐 :
Wangekuwa wazuri holy spirit hangewagongea😂😂
2025-11-26 11:29:26
216
viennar77
baby gee 🐾 :
wangekuwa watamu wangekulwa na lions kwa den😂😂😂💀
2025-11-26 15:49:44
94
kariukilydia07
🌺LYDIAH🌹⚡ :
nimeskia tungekua wazuri pia yesu angeoa😁😂
2025-11-26 13:32:27
34
helmerqueen2
REGINA❤️💥 :
huyu mdem nampendaga hanaga madharau kama wengine ❤
2025-11-26 12:04:44
34
pookie254mih
Thia🩶♥️babe🥵 :
wangekuwa wanatosheka na shimo hawangeingia kwa mdomo ya samaki😫😂
2025-11-27 07:50:36
34
paulmoh_
Møh :
wangekua wazuri lords prayer ingeanzaa na Mama yetu 😂😂
2025-11-27 09:42:20
6
tiana85381
💫tiana❤🦋 :
aty wangekuwa na akili hawangefanya kazi 14yrs ju ya kasusu😩😩😂😂
2025-11-27 11:44:22
6
saint_chrls
✞S么 I N T ✞🏀 :
wangekua wazuri adi yesu angeoa fly with me💔🤣🤣🤣
2025-11-26 21:00:02
5
kaleche0031
iamkal :
Hii kama hujui bible unauma nje😊😂😂😂😂
2025-11-26 20:32:26
8
emmy830332
🌸it's _Awuor🌹 :
hauskii hao hakuna shimo wanapita ..hadi ya samaki😫💔😭😂😂😂
2025-11-27 04:56:41
6
r.a.r.e_breed
Kish😚💗 :
Wangekuwa werevu hawangekatwa nywele na Delilah😭😂😂
2025-11-26 14:59:51
15
jackiejohana3
it's Jackie 🍫💙 :
wangekuwa wazuri yesu hangezaliwa nje ya ndoa
2025-11-27 09:04:32
26
liz.chris.lumosi
liz Chris lumosi🥰 :
shepu♥🥰
2025-11-26 11:01:34
23
cynbee5710
🫦her🐾 :
Ati tungekua wazuri hatungezaa kasongo😭😭😭
2025-11-27 07:12:41
16
bravesmom2
Reen moh :
Wangekua wazuri mary hangezaa na holy spirit 😂😂😂
2025-11-26 20:45:04
8
miss.elsie53
Miss Elsie :
na si unaona umalaya si kitu mbaya juh ingekuwa mbaya hangekubali kupanguzwa mguu na nywele zake🥰😂😂
2025-11-26 11:28:14
24
caruth.ruth
Me🥰 :
Tungekuwa wabaya Yesu hangeitikia tumuoshe miguu
2025-11-26 16:23:05
6
mevin094
Mevoh 💫 :
wangekua watamu simba angewameza ukoden of lions😫😂😂😂😂
2025-11-26 13:19:38
11
To see more videos from user @miss_mariellah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About