👍 haka kawimbo kanatakiwa kawekwe siku ya maridhiano au Wadhurst mnasemaje maana naona mzazi anawausia watoto lakini wote wakubali kibuli kimewaponza♥️🇹🇿
2025-12-09 17:39:25
7
Saninga🧓 :
🥹🥹🥹🥹 Nimekumbuka mbali mnoo my Mom alikuwa anaupenda mnoo huu wimbo💔💔💔😭😭😭😭
2026-02-05 19:44:53
3
Hamso nasty :
adi ilikuwa sijazaliwa hi nyimbo ikitoka😂
2026-01-30 13:33:51
1
rose.mkamiti0 :
Tuombee Tanzania yetu tuache kiburiiii🇹🇿😭😭 nimeumia sana 😭😭
2025-12-01 16:19:24
10
Garaboi tai♡☆god bless :
me nakuona mbali nenda ivyo ivyo
2025-11-29 19:08:38
5
James Mutoka :
huu wimbo umeimbwa na nani na unaitwaje? is it marijan Rajab?
2025-12-03 01:38:03
24
Nasra Mwajili :
naipendaga hii nyimbo jamani
2026-02-06 17:40:05
2
Aishajabiri :
nimekumbuka mbali sana
2025-11-29 19:21:13
7
Adinani Kibavu :
15/15 like nalipa hapo hapo
2026-01-05 08:57:43
0
Cristian :
ndio baba
2026-01-25 07:38:36
1
👑 Queen 👸💋 :
Me nataka kuzaa na w
2025-11-29 17:54:25
9
hawa juma :
@unapendakuchekesha
2026-01-09 22:02:20
2
Linah :
Ezi zetu
2026-01-15 19:04:57
1
Lukambale :
ndio baba
2026-02-20 13:57:14
1
Jacquline❤️🧚♀️🌹 :
Nimemkumbuka babaangu jaman asante kwa kutukumbusha mbali🥰🥰
2025-12-07 20:13:39
4
yolanda🥰🥰🔥🔥🇹🇿🇰🇪 :
baba yangu anapenda sana hizi nyimbo♥️♥️
2025-12-03 19:11:25
3
Dossa :
Mzee umetisha nataka izo ngoma
2025-12-05 21:07:38
1
..SwebE🥤 :
NDIO BABA💯😂🤝
2025-11-26 19:15:07
3
To see more videos from user @nyangemabrand, please go to the Tikwm
homepage.