@659300073ally: #viral #fyppppppppppppppppppppppp #highlight #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪

GANGSTER _SMILE
GANGSTER _SMILE
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 November 2025 07:01:44 GMT
302491
12381
187
1282

Music

Download

Comments

vitsal.sadick
MNYALU 🦺 :
siku mwanamke aniambie hata neno Moja kati ya hayo nduguzanguni naomba mtafute tu Dunia yenu mana hii itakuwa mali yake wallah
2025-11-27 16:26:58
40
meenahasan4
princess 🤴 💓💓 :
shida wakifanikiwa wanatuacha dah
2026-01-20 11:30:26
2
mhudum73
Oma 6 :
nyota sina ata ajira ya mgambo sina
2025-12-18 14:35:25
2
ousmanesaidy
Ochu :
ningepata mke wa hivyo ningeenjoy sana
2026-01-03 08:35:57
2
user67516114398686
Mr Nam :
huyo ndio wife matilial
2025-12-22 14:38:13
1
chemamkanza
Chema Mkanza :
sante
2025-11-29 17:04:12
1
asiaabasi8
user1381510542688 :
wanaume hamtabiriki mkipata wa hivi mnatafuta wenye matako
2026-01-20 17:47:05
1
kabagambe31
Eligidius Jovini :
mungu akinibarik nikapata mke wakuniambia maneno kama aya nitanenepa at bira kula
2026-01-10 12:50:53
1
deograemanuel
Deogratias :
wanawake wa namna hii wapo hum hum TikTok lakini wengi wao ni wahaini tu🤣🤣
2026-01-29 05:48:08
1
user931707913382
DHK 26 :
huyu mwanamke atakua dada ake yesu
2025-12-06 17:39:41
2
kizamani_kisasa_barbersh
Kizamani kisasa :
Mwnaume amebahatika apo usije ukabwaga kaka
2026-01-04 14:11:27
1
sinkah254
Sinkah Kay :
Abarikiwe sana huyo mwanamke 🙏
2025-11-30 14:47:57
2
emmazackytz
emma_zacky :
nyie mnawapata wap hao🤣🤣🤣🤣
2026-01-17 12:36:28
1
user7721145865478
daudi clever 1 :
mwanaume akiambiwa hivyo anaweza kufanya kazi kwa amani bila ata kuchok 😇
2025-12-11 17:29:21
3
qatarford
Keita Osama Qatara :
🤣🤣🤣🤣🤣hajajibu hata ya kwanza zishafika 6🤣🤣🤣
2025-11-30 07:41:10
3
user1807998167122
user1807998167122 :
nice
2025-12-01 09:44:42
1
frankfridolin
wariidi birary mparazo :
Nikimpata waivo weak moja2 nanenepa mana mm co mwembamba xhida nakutana na maguluwe
2025-12-13 18:32:07
2
the_son_of_jungle
The son of jungle :
naam
2025-12-25 14:12:52
1
richie.bae34
Richie bae💞💞💞 :
wooh napenda
2025-11-29 14:00:40
1
fatmakashee
FATMA KASHEE🇹🇿 🇰🇪 :
nasikia nimtag mume wangu aseme ukweli wangu kwake 😢😢
2025-11-29 12:48:15
1
misiati254
davy wa mutongoi🥰 :
🤣🤣hawa waliisha
2025-11-29 17:52:31
2
japhar144
japhar :
😂😂😂😂😂😂😂😂huwez kupinga
2025-11-28 15:11:19
1
mwangale2mca
Honmwangale :
wangu ni yeye na panga hadi asubui🤣🤣
2025-11-28 08:32:47
2
benjandelwa1
Sukhari tz :
Siku nikianza kuambiwa maneno hayo nitajuwa nimesha tajirika yapasa nianze kuandika urithi mapema
2025-11-29 17:25:01
1
josphatmuthami975
Josphat Muthami :
"vitu vingine kubali vikupite". hiyo imenijenga sana
2025-11-29 05:40:01
4
To see more videos from user @659300073ally, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About