@officialveedollarz1: Pre-grad vibes with @SUTIBEGA_ Suit. Graduation OUTFIT No1.

veedollarz1
veedollarz1
Open In TikTok:
Region: FR
Thursday 27 November 2025 14:07:51 GMT
467828
31574
470
411

Music

Download

Comments

rizikinnko8
Rzk :
alafu cha aajabu kuna watu watapendeza zaidi yake
2025-11-27 14:35:18
610
tness666
it's ~Tness♥️ :
asa mbn siku yako ndo hujapendeza jamani....😂
2025-11-27 14:44:47
357
baddiefrommars
baddiefrommars :
haters kwenye comments ni ambao hawana degree
2025-11-27 18:21:47
111
aggie8765
Gnessy♓️🫧 :
Tukishakuzoea kupendeza ona sasa saiv tunaona huna maajabu😂😂🙌🏼
2025-11-27 15:22:03
170
user23071596273600
leahlema :
Mbn umekuwa mbaya sura 😅 wambie waweke filter
2025-11-27 14:50:31
163
ms_sanoy
Ms_Sanoy ♡ :
Wakenya wasione hii Archieve❌ Achieve✅
2025-11-27 16:10:03
39
.keil.n
🖤Kay~Rosie✨ :
Sio wivuuu ila hata dada ang hajamfikia😂😂😭😭
2025-11-27 16:53:53
64
12cute892
Jechqueen :
ukipania kitu bhn lazma uharibu
2025-11-27 15:32:08
84
evado_kizzy898
Evado _kizzy💰 :
kumbe mwalim nyerere😂
2025-11-27 14:28:04
50
ngalawah3
Salma❤️ :
WASICHANA AMBAO HAWAHUDUMIWI WANAVOANDIKA KWA HUSDA😂 MUNGU anajuwaga KABISA WAKUWAPA🤣
2025-11-27 17:52:29
34
e.c.i.n
❤️🌸 :
Mh mbona usoni umekua mbaya jmn au camera
2025-11-27 18:08:57
18
fatma.msuruke
msuruke 💜 :
adui WA mwanamke nimwanamke acheni wivu washamba nyie shenzi😏
2025-11-27 19:15:25
17
dianagabriely3
dear na❤ :
kafanana na maua sama
2025-11-27 18:12:55
13
santosreubensanga
loved :
mbona Mimi sijaona uo ubaya watu wanaouzungumzia mbona mdada wa watu ni mzuri tu mara apunguze pua ila wivuu🙌
2025-11-27 17:47:12
11
kitaulo7
simeone davis :
mnajua nn uyu dada bila sasamp kikwel sio mzul wala nn bac tu anamatunzo
2025-11-27 16:42:54
8
finest_shammy1
munno_peal🦋✨ :
ikifikisha likes 100k nistueni nije kuona comment yang😐😢
2025-11-27 14:13:39
24
brbie249
Barbie249🙂‍↔️❤️ :
Umependeza sana usiwaskilize🙂‍↔️❤️
2025-11-28 06:39:24
9
winona7245
Winona 🥰 :
Nguo umepndeza Dada hila Make-up Artist round hii amekuangusha sana jmn 🥲
2025-11-27 21:15:48
8
debbie..mwashiuya
New Debbie🤳🏼 :
duuh nikikumbuka ile graduation badjet na v2 ulivotuvalia nachoka mimi 🤣🤣🤣on ur special day 0/0
2025-11-27 17:47:27
6
mislovie2
Mis Ag.😘 :
Mbona mna chuki na huyu dada 😂😂 ,mbona kapendezaa tyuu
2025-11-27 15:31:47
8
its_ashlee.36
its_ashlee.36 :
Mbona Vicky Kila mwaka Úna graduate
2025-11-27 15:04:14
7
dee_18_18
Mee❤ :
acheni wivu na roho za kwann. umependeza mwaya hao wanaokuchamba weng wao ata D mbili hawana congratulation Ccy
2025-11-27 16:45:43
5
p.e.r725
miss~perus😍 :
congratulations Victoria 🥰
2025-11-27 14:58:51
5
winnie71s
winny73 :
Hujapendeza mwaya
2025-11-27 19:02:24
1
dani_athanase7
DANIEL 🫥 :
10/10 tujuwane apa nalipa
2025-11-27 16:02:56
2
To see more videos from user @officialveedollarz1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About