@adamalmas190: Green apple ni moja ya matunda bora kwa wagonjwa wa presha. Lina zinc, vitamin C, na antioxidants nyingi zinazosaidia kupunguza msongo wa mishipa ya damu, kupunguza cholesterol mbaya na kuongeza mzunguko wa damu.#hypertension#greenapple#healthylifestyle#tanzaniantiktoka🇹🇿#tiktokusa🇺🇸