@alseeq_furniture: تصنيع عالي الجودة لغرف الطعام #CapCut #abudhabi #furniture

Alseeq Furniture Design
Alseeq Furniture Design
Open In TikTok:
Region: AE
Thursday 27 November 2025 22:55:33 GMT
366
11
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @alseeq_furniture, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

*🩸🙏 JE, UNAPITIA CHANGAMOTO? JE, UNAHITAJI ULINZI WA MUNGU?* Karibu tuungane katika NOVENA YA DAMU AZIZI YA YESU KRISTO,  saa tisa usiku (3:00 AM), tukiyakabidhi maisha yetu kwa BWANA kupitia sala. *🩸 NOVENA HII NI FURSA YA KUMKABIDHI YESU,* 1. Je, unapitia changamoto nzito na unahitaji msaada wa MUNGU? 2. Je, unahitaji ulinzi wa MUNGU juu yako na familia yako? 3. Je, unapitia vita vya kiroho na unahitaji kuimarishwa katika imani? 4. Je, una huzuni, hofu au mahangaiko yanayokunyima amani? 5. Je, unamwomba MUNGU akufungulie njia pale unapokwama? 6. Je, unahitaji neema na rehema za MUNGU katika maisha yako? 7. Je, una mahitaji mazito ambayo umekuwa ukiyaombea kwa muda mrefu? 8. Je, unahitaji nguvu ya kushinda majaribu na vishawishi? 9. Je, unamwombea mwenzi wako, watoto au watu wa familia yako? 10. Je, unatamani kuimarisha maisha yako ya sala na kuwa karibu zaidi na YESU KRISTO? 🩸 USIKATE TAMAA, ENDELEA KUMTAFUTA BWANA. Damu Azizi ya YESU KRISTO inatukumbusha upendo mkuu wa MUNGU na sadaka ya wokovu wetu. Unapopitia magumu, usikubali kukata tamaa wala kuacha kuomba. Mkabidhi YESU mahangaiko yako, omba kwa imani na ujifunze kusubiri kwa matumaini, ukijikabidhi katika mapenzi yake. 🙏 Jiunge nasi katika novena hii ya sala saa tisa usiku (3:00 AM). Tuwe na moyo wa unyenyekevu, imani na matumaini tunapomtafuta BWANA. 🩸 Ee Damu Azizi ya YESU KRISTO, utuhurumie na utulinde. Amina. #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #kenyantiktok🇰🇪

About