@opkajiru6: #quran #alhamdulillah #opkajiru

Op kajiru💥
Op kajiru💥
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 November 2025 13:32:46 GMT
471768
40066
345
7465

Music

Download

Comments

khadeenajb56
Khadeenajb :
Ya rabi kesho inshaAllah nisiku yang ya kupewa taraka ili khal ni mjamzito.Allah naomba kuzungumza.Ya Allah nakuomba wewe tu mola wangu Angalia nafsi yang inavyo teseka🥺
2026-02-21 20:24:52
47
mamumuba546
Mamu Muba :
acha kbsa hiyo swalaaa imenisaidia san na bado naendelea nayo mpka niingie kwenye ndoa bi idhinillah
2026-01-22 16:54:15
133
saida.kuvuna
Saida Kuvuna 🥰👌#fastborn :
Sheikh naomba uniandikie hizo surah zenye unasoma kwenye hizo rakah mbili
2025-11-28 17:59:28
50
user3713412063422
صابره عبدالله :
kwaiyo unanuia swara gani naomba jibu tafadhali
2026-02-19 15:23:13
9
leylasanoor
sanoor :
kati y saa tisa n saa kumi ,ni wakati gani unapendekezwa kwa ajili y swala hii
2025-12-11 16:27:43
19
finner161
finner161 :
Na tunaoswali kwa kukaa🥺
2025-12-01 00:46:40
10
abdulrasheedbaimba
Baimba jnr :
Hizi rakaa mbili zimenisaidia sanaa Wallahi
2026-01-21 08:53:58
8
user302126168383
rehema :
nikwel hata mm nilikua sina kazi nivyoanza kuswal tuuuu nikapata kazi walah mungu anampenda yule anayemlilia usiku
2026-01-24 07:14:27
15
manaythar
🫣fêstõ🫶 :
unanuia vipi shekh ukitaka kusoli iyo swala
2026-01-25 20:40:33
9
tumericj
falsah :
hii nayo n kweli
2025-12-22 19:26:40
5
nashfatking34
madam simba🦋❤️ :
napenda kuswali swala za usiku ila nakwama kwenye madua mengine siyajui kwel swala yangu itaswii
2025-12-10 18:41:54
10
maheer49
Maheer 26 :
Allahumma ameen leo Leo allah anitilie wepesi niamke usiku wa leo allah nijalie kwa hili mola wangu mlezi🤲🤲🤲🤲😭😭
2025-12-04 10:08:21
11
amieshammy
Amie Shammy :
rasullulahi swalalahu aleyhi salaam
2025-12-15 10:53:47
5
faryqute
Miss Fary :
Aisee Alhamdulilah anacho kisema ustadh jaman Kweli Mungu anajibu nyieee nna ushuhuda tena nilimsikia huyu ustadh na nikaanza kuswali mwez haukuisha
2026-02-19 07:56:47
5
user8159861887192
NiGa :
Dua Iyo dua ganu
2025-12-05 13:05:06
0
user997536697517
user997536697517ZENA :
wallah shekhe mungu akueke nilifasali sana hizi sala ..sai natamani nitoe ushuuda aki Alihmdhlillaah
2026-02-18 09:44:58
22
najmah_makeup
Najmah Bae ♥️ :
nna ushuhuda n iyi swala alhamdulillah 🥰❤️
2026-02-24 22:58:57
2
marriam9637
marriam :
amiin
2026-02-21 21:09:39
2
user9622138688142
MUNDHIR SALIM ALLY :
Allah atufanyie wepes inshaallah
2025-11-28 19:25:21
7
weniwananikwan
liiy mohd :
mh! kuonba dua wakati unaswali kwenye sijida je inaruhusiwa kuomba dua kwa lugha ya kiswahili
2026-02-09 18:36:07
1
onesmusmwenda216
onesmus mwenda :
inshallah 🙏
2026-02-06 20:18:25
2
kathleenkombo
Kat K ❣️ :
alhamdulillah
2026-01-31 17:04:54
2
user085334567789
@offical,,luiz :
Allahuakbr
2026-01-23 12:50:43
2
tatukasabenadukamkononi
Tatukasabedukamkononi :
Alhamdulilah mashallah
2026-01-13 10:04:56
3
jaweta7
Anaphy Jaweta 👣 :
Taqbiiiiirr🙏🙏🙏🙏
2025-12-23 08:40:59
4
To see more videos from user @opkajiru6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About