@manyandaafricanpowerr: Kama waganga wamekushindwa tumia mtu huu

manyanda african power
manyanda african power
Open In TikTok:
Region: GB
Friday 28 November 2025 13:38:20 GMT
276106
10368
287
1662

Music

Download

Comments

bidashfatush
Ummu Fathma :
Huu si ni mmbokwe ..Adigo.ayangu samwaleku,🤚🏻🤚🏻
2025-11-28 20:35:08
23
wambuakasimu
king'aui Kya kitui :
Kenya hakna bro
2025-11-28 15:49:15
8
ninalabeck
Ketty61 :
huku mombasa hakuna naweza pata
2025-11-28 19:58:35
4
michymichy92
Fahimichy🇰🇪🇶🇦 :
huu mti ndio ule husokotewa rasta pia.(dreads lock)
2025-11-28 16:58:47
4
user3117303516908
user3117303516908 :
kuna msagese(umuphumbe) na huo unao unaosema saiv huo ni mutopetope(umukanda) kwetu huku kigoma
2025-11-28 15:16:55
14
tinnah6523
tinna6523 :
samahani kaka msegese ni kam huu nisije chukua mti tofauti
2026-01-13 15:37:22
4
solangeuzamukund9
Mukunda :
How do you call it in Kinyarwanda? In English?
2025-12-03 09:32:18
0
user69459055214818
user69459055214818 :
kaka nileetee dawa ya kuacha pombe
2025-11-28 19:30:05
10
chi_mara74
Chi_Mara🌹 :
vipi bro.nisaidie tafadhali Nina kesi kortini yaeza nifunga maisha.nipe dawa ya kesi kufungwa 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
2025-11-29 04:28:29
4
rashian10
Rashian :
nahitaj dawa ya kushika ujauzito/mimba Kwa haraka
2025-11-28 20:39:00
3
diana8799h
diana :
Jamani kuweni makini na waganga wa mtandaoni wengi matapeli kwanza mganga wa kweli hajitangazi wala hapatikani mitandaoni bali husifika kwa uaguzi wake kwa watu, Mimi nilisaidika na mzee mmoja uko ukambani
2025-12-01 13:33:02
2
zuhura.shabani95
Zuhura Shabani :
mbokwe
2025-11-28 19:12:36
7
dege.baya
bkb :
huu ndo msegese
2026-02-13 10:31:55
4
michuhans
MICHU :
duh hii ipo mingi sana shambani kwangu kumbe dawa bhn
2025-11-30 07:10:16
1
judywayne7
Wayne 001 :
Me niko na Swali..Mbona Karafu Maiti yangu haiyeyuki ndani ya maji
2026-01-08 17:57:35
0
user9448797058448
user9448797058448 :
Unapatikana wapi
2026-01-21 20:06:19
1
nyotanjema7
Nyota njema hair beauty :
Kaka naomba dawa ya kuacha bangi
2025-11-28 20:30:35
2
bushboiafrica
Bushboi :
Mama amina apaaaaaaaa 😂
2026-02-22 07:43:19
1
naftari.gmail.com
Naftari 340🚛🚛🇹🇿 :
huo kwetu tunaita umkandaa
2025-12-26 06:43:40
2
dege.baya
bkb :
2026-02-13 10:32:39
1
ngolo3673
baby girl 💖💖 :
unazaa matumda gan kaka
2026-01-14 07:10:20
1
viomambo
Vio Mambo :
nataka kuja kuchukua wap
2025-11-28 19:27:46
2
mzanzi.bar
mzanzi bar :
tumpelekee mama amina
2025-11-28 15:16:43
3
user4918390073299
𝑎𝑐𝑎𝑑𝑒 𝑡𝑜𝑡𝑜 :
huu ndo msegese
2026-01-27 09:21:39
1
zainab.zainab.ali85
Zainab Zainab ali :
kiduruma unaitwaje
2025-12-15 10:48:47
1
To see more videos from user @manyandaafricanpowerr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About