@adamalmas190: Usingizi wa masaa 7–8 unapunguza cortisol, unafungua mishipa ya damu na kuupa moyo nafasi ya kupumzika. Watu wengi hawapati nafuu ya presha kwa sababu hawalali vizuri, si kwa sababu dawa hazifanyi kazi.#hypertension #sleepdeprived #healthylifestyle #healthytips #fyp