How much is the TV, TV stand, bed na hiyo sofa Approximately???
2026-01-15 15:25:17
47
future-realm :
sasa nmebakisha TV wadau
2025-11-29 08:55:59
84
jose g :
huku n Kwa daktari ama ni nurse 😂😂😂
2026-01-11 09:45:14
177
Eng. Kanini :
huyu akinipeleka kwake nakatalia uko
2025-11-29 08:25:34
332
MPOTMO DAVIE :
by end of this year nataka keja yangu ikae hvi
2026-01-14 14:46:04
6
Selina Auma :
one day ntafika hapo am on my way
2026-01-11 09:33:51
5
Christine Tannia :
na hizi lights watu hunuanga wapi?
2025-11-29 10:47:34
9
Best kicks &House decors MUT⛎ :
😂😂😂😂
2025-11-29 10:23:45
8
LandLord 🏘 :
Nitaongeza rent soon utahama tuu
2026-01-11 18:14:08
5
shon :
ulinunua wapi iyo moto? na mbona inawaka kwa TV? na ni aje TV haichomeki? alafu, kwani huogopangi iyo moto ishike ichome nyumba? na uliweka aje moto kwa TV? waahh sasa tuseme unatoka unaenda ushago, unazima aje iyo moto? na ukizima iyo moto nyumba haijai moshi? sijawai ona kitu kama iyo😂😂😂 nani anauza moto ya AI? nataka nistue watu huku ushago. kama unauza iyo moto please ni inbox😂
2026-01-20 15:10:19
13
Allan Allano :
🤣🤣🤣🤣 mwingine alikwama kwangu sababu ya dispenser 😳😳
2025-11-29 14:29:51
5
Kanambo Wa Makejani :
yangu ukingia unategwa ma mitungi kwanza 😅😅
2025-11-29 10:46:37
20
small girl 😜💞254🇰🇪🇰🇪 :
😁😂Alf kuna mwingine hapa mchafu nilifika kwake nikarudia Kwa mlango 😂
2026-01-11 11:33:22
17
idbm.idbm :
dem mmoja ajitolee akuje anipangie hii bedsitter yangu
2025-12-28 20:10:03
13
javan Mburu :
yaani bado kuna dem anaturn on ju ya snake light. kweli Mimi ni gaidi
2026-01-11 18:03:31
9
Joseph McATee :
Time nilikuwa maskini ndio nilikuwa natumia hizi vitu😂😂😂💔😭
2025-11-29 09:33:08
7
🌹🌹🌹Lydia :
hio moto inawaka kwa tv unawekaje
2026-01-25 14:40:10
6
khisa Anthony :
hii ni upuzi . snake lights ni kwa club
2025-11-29 10:17:34
7
🛠ENG STOPPER ⚜️ :
ATI comrade 😭😭😭
2025-11-29 08:39:48
5
Ñëshlää Ñësh :
nlijaribu kuweka yangu hivi nkapandishiwa rent 🤣😅😅
2026-01-09 16:37:05
13
ibnzayd3 :
pressure ya huku nje mnafanya sisi tujione tunaishi kwa sewage😂
2025-11-29 12:43:46
6
Enock Java🔹🇰🇪 🇱🇷 :
Huku unasahau kusoma😂😂😂
2025-11-29 05:52:28
6
Glam by Reen 💅💜 :
@only 12,000 Belgium
2026-07-15 05:56:13
0
babyghurl fie.. :
hizo light ulibuy wapi
2026-05-07 09:03:09
1
nnytavybe😍 :
lighting umepata wapi?
2026-02-04 10:00:57
2
To see more videos from user @kipchumba_3, please go to the Tikwm
homepage.