RIP mama nakupenda. it was January this year but natamani ungekuwa hai, japo najua mpaka sasa najua hujapotea upo daima
2025-12-01 03:58:28
9
NDADO GANG OFFICIAL :
wa video 10/10tuonane
2025-12-01 09:25:22
11
alexd0990 :
Kaka mungu akulinde uyaone mafanikio yakođđŧđđŧđĨ
2025-11-28 21:28:44
16
Mrs Fahad â¤ī¸ :
Rest in peace mama đđđđđđđđđđđđđđđđđđđđđđ
2025-12-02 09:44:47
6
Laizer_Slowđ :
TUPO WOTE BLOOD ANGU. NA TUNAFANYA KITU AMBACHO CHA KITOFAUTI SANA NA SIZAN KAMA KUNA MTU WA KUTUTENGENISHA LBD ALLAHđ.... TUNAMPENDA SANA MAMA ETU SANAAAAAâ¤ī¸â¤ī¸đ
2025-11-28 18:22:34
146
FALLY MUCHAU :
great đ my brother
2025-12-13 07:14:13
8
paschal masoud :
nawapenda wa mama woteee
ila sio mama samuyađŽâđ¨đŽâđ¨
2025-11-29 08:06:19
63
sharoolivier2 :
wa kisali twene nalo 10/10
2025-11-29 04:23:50
16
ommy :
hakika nani kama mama kama unakubali alichoimba familia hapa gonga like
2026-01-04 10:37:02
5
Matatizo Yatakwisha Wen đ¤ˇââī¸ :
matatizo yatakwisha wen đ¤ˇââī¸đĸđĸđĸ wale mama zao walokufa inshallah mungu awajaalie wakutane na familia zao peponi, na wale mama zao wako hai naomba muwapende mama zenu kuliko Roho zenu đĸ HAKUNA KAMA MAMAAAđĸđĸđđ
2025-11-29 19:14:55
15
Bizzy Man TZ :
nakupenda Sana momâĨī¸âĨī¸kama unampenda mama ako pia tujuaneđđ
2026-01-26 08:50:11
5
Mngoni og :
Mm sina mama kakaanguđ
2025-12-01 20:53:36
11
USD ONLINE TV :
bro mimi mama kasha fariki kitambo naomba vesy yakuniliwaza đđđ¨đŠ
2025-11-28 22:39:09
92
King brand 45 đđ :
50/50 anza nalipa chap
2026-01-23 03:11:33
5
Augustin ndungo :
uko bala sana
2025-11-28 19:05:46
6
BROWN family :
Unae soma hii comment MUNGU akulinde đđģ đđģ