@bbcnewsswahili: “Tunachosikitika mpaka sasa na wanachosikitika Watanzania, wanachoumia Watanzania mpaka sasa, kinyume na mila na desturi za makabila yote ya Tanzania mpaka sasa ni kutokukiri ukweli kwamba, waliouawa wameuawa na nani? - Kama aliyeua hatambuliki, ilikuwaje vyombo vinavyozuia mauaji visifanikiwe kuzuia mauaji?” - Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema miongoni mwa mambo yanayowasikitisha Watanzania kwa sasa ni kutokiri ukweli kwamba waliouawa wameuawa na nani? - Rais Samia Suluhu Hassan amesema ana imani na tume ya uchunguzi aliyounda kutathmini kilichotokea Oktoba 29. - Wakati huohuo kiongozi wa tume hiyo Jaji Othman Chande, amesema tume yake itafanya uchunguzi wa kina na wa wazi, huku ikiomba ushirikiano kutoka kwa makundi yote yanayohusika moja kwa moja au kwa njia isiyo ya moja kwa moja na matukio hayo. - - #bbcswahili #kenyantiktok #tanzaniatiktok #foryou #maandamano

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 01 December 2025 20:42:44 GMT
258643
17378
855
372

Music

Download

Comments

sanzy..g
sanzy G 🍃 :
sisi Watanzania ni mazuzu kweli Yaani mtu anaongea point nyinyi mnampinga , sio hiyo serikali yenu ambayo hamjaichagua inapindisha ukweli, GUYS GUYS GUYS AMKENI BASI
2025-12-02 07:39:17
200
aboudzeko360
dzeko🦅 :
hubiri dini yako kipara achana na siasa acha kuchumia tumbo
2025-12-02 03:45:17
87
user6632778710887
SALImastermind :
kataa maandamano Linda amani
2025-12-01 20:53:56
109
drallyabufares
drallyabufares :
Gwajima, lisu ,askof kagubumila na father kitima na mange kimambi ni MAGAIDI
2025-12-01 21:44:06
79
mummy_809
Cherish :
Sikuwahi kufikiria kama kuna baadhi ya Viongozi wa Dini wanachochea machafuko Nchini😭
2025-12-01 21:17:25
43
ramadhan_mhada_watasha
Ramadhan Mhada :
Akili kubwa
2025-12-01 21:25:58
79
mo.amaan.i
mo.amaan.i :
yaani Hawa unaweza kusema wanaibuka tu baada ya tukio fulani, kama hawakuona ule uharibifu na uhalifu uliotendeka October 29, na sasa ivi Kuna uhalifu unaendelea kwenye mitandao, Kuna agenda ya kuhujumu uchumi wa nchi unaendelea kwenye mitandao lakini haya yote hawayaoni. watakuja kuona baada ya serikali kuchukuwa hatua za Hawa wanaotaka kudhoofisha uchumi na amani ya nchi
2025-12-01 21:10:08
33
abuu.luqmaan
ABUU LUQMAAN :
KATAA MAANDAMANO KATAA WACHOCHEZI KAMA HAWA
2025-12-02 06:07:18
26
japharimudhihiri5
Ticha MUU-Pan Africanst :
Apelekwe milembe huyu kibaraka wa vurugu
2025-12-02 02:59:11
20
user9632691680123
Jetli :
tafuta mke kwanza wewe
2025-12-03 00:41:06
13
user72257951526000
Maila Nghoboko :
Watanzania asilimia 80 hawana elim ya ndio maana mzee huyu anaongea point.halafu.wao wapo.kumtukana na kumkebehi
2025-12-02 10:39:06
52
zabibujaffarkagom
zabibu jaffar Kagoma :
Dini na Siasa Mchochezi wa vurugu Pumbavu
2025-12-02 04:19:56
8
441992mzinga
عبد القادر ابن ابا :
Nenda mbele uko kibaraka ww waroma 😂😂😂😂
2025-12-02 08:34:17
19
user8434612122045
user8434612122045cleria j khm :
kabisa unarithiana na nani
2025-12-02 07:16:16
13
benkisanga
𝗕𝗘𝗡 𝗞𝗜𝗦𝗔𝗡𝗚𝗔 :
MCHUNGAJI UNAONGEA UKWELI SANA 🔥🔥🔥🔥🙏
2025-12-02 04:53:39
15
mohamed.mpemba3
babrez on fire 🔥🔥🔥 :
kibalaka wa wazungu
2025-12-02 22:11:27
6
hancyfation
hancy :
waislamu tujitambuwe
2025-12-02 13:34:26
5
drallyabufares
drallyabufares :
waislam mkiambiwa hawa watu walikua wamamkakati wao muwe mnaelewa
2025-12-01 21:45:58
13
dicksonmwantiku04
dicksonmwantiku21 :
hatua ya kwanza wajiuzuru
2025-12-01 21:07:51
19
nyalaka1
nyalaka :
kumbe BBC mlikuwa mnafatilia live ya padri kitima 🤔✨
2025-12-01 20:58:02
28
sammacoha
Makokha :
the voice padre kitima ,is the voice of God
2025-12-02 06:11:11
7
jiga_furniture.tz
jiga_quality_furniture.🇹🇿 :
sahihh kiongoz
2025-12-01 21:05:07
20
norbertlufun8
Dotto Sound :
uko Sawa Askofu
2025-12-01 21:10:32
14
vankatala.tz
Van Katala Tz :
sema baba sema
2025-12-01 20:50:13
19
son_of_arnachry
BINAMU :
Huyu jamaa ni miongoni mwa adui wa Tanzania. Na sasa wanahamisha maandamano yaende siku ya Christmass ili tuu itokee vurugu waje waseme Polisi waliingia kanisan wakaua waumini wote wakiwa kwenye sherehe za christmass. Hii vita inarudishwa tena kwenye udini. Huu mtego ni mgumu sana aisee sidhan kama Tanzania itabaki salama tena. TUTAFUTE KWA KUKIMBILIA
2025-12-01 21:21:44
30
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About