@bbcnewsswahili: Leo (Jumatano) macho ya famili ndugu na jamaa yanaelekea katika mahakama ya hakimu mkaazi ya Kisutu baada ya mfanyabiashara Niffer (Jennifer Jovin) na Mika Chavala miongoni mwa washtakiwa wengine kufikishwa mahakamani humo asubuhi ya leo kwa mwendeleo wa kesi dhidi yao. - Tutakuletea yatakayojiri mahakamani pindi tutakapoyapokea. - Ilikuwa afueni kwa familia jamaa na marafiki baada ya mkurugenzi wa mashataka ya umma nchini Tanzania kuwafutia mashtaka ya uhaini mamia ya vijana juma lililopita. - - #maandamano #uhaini #niffer #mikachavala #tanzania

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 03 December 2025 08:17:31 GMT
117401
2305
101
38

Music

Download

Comments

gracemasunga
Gee❤️ :
uyo alie mbeba mwenzie mgongoni Mungu ambariki sana 🙏
2025-12-03 08:54:38
75
user14628806806234
user14628806806234 :
Mungu amsaidie Niffa atoke,
2025-12-03 08:39:38
20
nasma.grey
Nasma Grey :
daah mungu ni mwema huenda Leo ikawa siku nzuri kwao🙏🥰
2025-12-03 08:22:02
11
aihaam7
Aihaam :
kumbe wamasai nao ni wahaini?
2025-12-03 08:25:50
7
venacosmeti27
VENA-COSMETICS27 :
Mungu afanye wepesi 😩😩😩🙏🙏🙏
2025-12-03 09:12:11
6
passcord7
Tap to Watch :
Guys Samia Suluhu must be respected
2025-12-03 08:51:47
4
debby.gefi
Debby gefi :
mwenyezi mungu awatangulie
2025-12-03 08:22:48
4
raya.2125
Raya :
kwa Baraka ya siku ya leo Allah atakutoa nje leo uwe huru
2025-12-03 08:55:03
3
tajirri.abbas
Tajirri Abbas :
masai
2025-12-03 08:23:06
2
njavi98
Mpekecha njaviritoi :
Msela kammbeba mwenzake ni familia
2025-12-03 10:07:28
2
libra_aura1
Nono❤️🌸 :
Uyo mika akitoka jera aje anioe ata bule😌😌
2025-12-03 09:12:24
2
kaboborasta87
@kaboborasta :
strong income aliwachiliwa?
2025-12-03 08:23:04
2
user1222144614276
olivia 🤍💯 :
Mungu awatangulie
2025-12-03 08:28:58
2
omaryhawamibrahim
Omary Hawam :
Mungu atawapambania Inshaallah 🙏
2025-12-03 08:33:10
2
sammyquuen6
Sammy♧quuen :
mengi waombee wenzako watoke
2025-12-03 08:41:58
1
omega.ezekiel7
omg tz 225 :
Mungu yupo nanyi
2025-12-03 09:38:55
1
leo83145
leo 🦁 :
wameshaachiliwa
2025-12-03 09:27:26
1
littlebi25
littlebi25 :
watu kwakweli wana angaika kwaimciyao kwakweli emungu.
2025-12-03 08:25:19
1
evah2667
Evah💋 :
Mungu awatetee inshallah
2025-12-03 09:07:17
1
keemy_gee
Miss gee🧸🌺 :
may today be the day🙏🙏🙏
2025-12-03 08:21:30
1
joycedonard
joyce donald 🥰🫂 :
namhurumia uyu mwenye gongo na aliembeba mwenzie mgongon😭😭💪
2025-12-03 08:49:50
1
rhianwanzaa
Rhian wanzaa Rehema 🖤🖤🖤🖤🖤 :
mbn wengine waumia miguu
2025-12-03 12:51:01
0
khamisi.fundi7
Khamisi Fundi :
😳
2025-12-09 12:25:15
0
kkay6051
Gwamba ford :
Free that lady 😏
2025-12-06 16:40:40
0
sonia.dangote
Sonia dangote :
wanaume siwanapitia ma teso apo Tanzania jamani
2025-12-03 10:28:01
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About