@mhasibuwadaladalatz:

Mhasibuwadaladalatz
Mhasibuwadaladalatz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 04 December 2025 12:21:10 GMT
2852082
87166
473
1888

Music

Download

Comments

dahumsuya3
dahumsuya :
dala dala inaelekea wapi hii nataka nihamie hukohuko inapoelekea😂😂😂
2025-12-04 18:33:46
258
stevewalker.1
💲💎$TËV£💎💲 :
we ushawai ona wapi konda wa tz kachomekea vizuri 😂😂😂
2025-12-04 18:38:00
255
yagod_tz
Yamungu 🇹🇿 :
konda mwenye degree ya customer care
2025-12-04 14:14:27
177
rudiner.mwambe7
Rudiner Mwambe.. :
2026-07-28 08:58:31
0
user5419668487937
Abdully :
huyu broo anapatikana mkoa gn
2026-01-03 21:07:15
27
costantinemakubi1
Makubi 9 :
dullah baba kwenye ubora wqko😂😂
2025-12-04 15:30:09
31
irikyaeli_swai
Swax Makiadi :
muda si mrefu wabongo watakuja na lao kwamba wewe ni system 😅😅
2025-12-29 06:21:52
16
jaysharrif
jaysharrif :
iyo gari inapatikana wapi
2025-12-24 20:08:30
13
bin.kasir
Bin Kasir :
alaf gar ake anasimama yeye tu
2026-01-25 12:15:53
5
perfectbeautypoint1
Perfect solution beauty point :
Jana tulikula zetu ngoma za bushoke 😂 akasema tuache makasiriko maisha mafupi
2025-12-09 15:46:16
9
yasy.chamile
yassinchamire :
ya was iyoh
2025-12-20 19:30:56
3
mabuma3
MABUMA :
Alivyo pandisha suluwali kama joti
2025-12-04 19:33:54
19
user38429452586668
nana :
kwani hii daladala ni yawap nisubiri kituoni🤣🤣
2026-01-07 21:14:53
2
charming.galtz
👸 cute me :
huyuu so mtu wa system kwelii😁 msinichambee naumwa
2026-01-07 21:36:17
2
fettyhassan790
fettyfatma :
unakuta ana degree 3😁😁 ila Tanzania🙌🏿
2025-12-16 06:09:45
4
mbaraka.said4
Baraka mathias :
🥰
2026-03-31 13:50:45
0
sindeaguero
Ümár bárístá☕️🇹🇿 :
Huyu konda yupo wapi aamie ruti za kwetu
2025-12-05 05:25:25
39
stephanozacharia6
30 coons4 :
kazini chizi nyumbani baba nategemewa
2025-12-04 22:49:07
32
mbwel.120
mbwel@ 120 :
oya mjomba unashawishi vijana wote waje kwenye ukonda😁
2026-01-06 17:59:06
11
cute_lighter0
Its _lighter🧸🌸 :
Uyu konda yupo kwenye magari ya tegeta-mawasiliano
2025-12-24 06:04:57
11
hzzabloody3
Hzza blood :
degree za NIT🤪🤪🤪
2025-12-07 11:57:00
10
magembemahangila
Magembe Spare parts :
Mwenye ana ukimwi humu ndani nagawa hela ya matunda
2025-12-04 13:43:29
9
rizyrank
Mputu🍁 :
Kuna mzee jana anaenda Goba nikampandisha Gari za Kariakoo
2025-12-06 09:25:56
8
said.hashimu3
sidekid 🤸‍♀️🤸🏄‍♂️🏄‍♀️ :
hvio kipindi anasoma huyu 😄😄
2025-12-09 22:31:01
7
bwangomtapetape
bwango mtapetape :
asante konda gari yako inarut ya wapi na mm nipande
2025-12-05 05:01:52
6
abbyahmad745
Abby Ahmad :
asa apo akukute huna nauli🤣🤣🤣
2025-12-14 09:12:08
6
lucy.chongola
Lucy Chongola :
njoo na uku iringa mbona tutasahau vituo vya kushuka 😁😁😁
2025-12-24 05:59:39
5
bambalivetz
Bamba Live Show :
2025-12-11 01:45:39
4
christinermwaluko
Tatiana@queen♥️♥️ :
joti mrefu
2025-12-24 04:25:14
4
otegamaisho111
OT Stationery :
konda naomba uhamie daladala za makumbusho mnazi mmoja via mabibo
2025-12-31 22:23:13
4
muumade2
OKOHCN 06 :
Biga puu
2025-12-24 06:48:01
3
mariella.cute3
Mariella Cute :
utauwa baba🌸🌸
2025-12-24 14:19:42
3
the.raretizzo
Tizzo🧸 :
Ndo uwapige busu ah kubabake we mjinga umeuwa
2025-12-10 07:14:02
3
mideko602
Shamy cute💋 :
Giii😁
2025-12-31 14:18:14
3
user343152390524
issay@ :
pale ukiwq na uhakika na hela🤣🤣
2026-01-13 22:02:12
3
kadolino5
K@D0L!N0..✨✨💥 :
magar ya mbagar utamkuta
2025-12-25 17:06:24
2
anna.kido3
Anna Kido :
anaipenda kazi yake
2026-01-16 18:50:44
2
ramdvj
Ram :
Kwa burudan hiyo utajikuta unatoa mpaka moyo
2025-12-04 18:01:45
2
starboyjoh2
Star Boy Joh :
Muhasibu😁
2025-12-21 14:18:50
2
nakamula2madsun
n@k@mul@ mad sun 🤏 :
nakubali mchezea ela
2026-01-14 06:21:21
2
user47lewisbavarian
lewis bavarian :
hawa ndo makonda tunaowatafuta
2025-12-24 19:23:28
2
zeemakengena
Godlovemsinjila :
Huyu jamaa hawezi pata pressure wala magonjwa ya moyo
2026-01-23 06:30:12
2
user45467846
Jamal musialA :
penda Kazi yako inayokupa kipato KILA siku
2025-12-05 06:37:58
2
willi_don
Willi Don🙏 :
uyu tumkodi safari ya beach mass 🥰😂🤣
2026-01-09 23:43:35
2
nuraty820
sister tuu :
dereva amia luti ya mabibo ata ukisema 2000 nitapanda
2025-12-25 09:00:21
2
rayzo180
kiss :
ukimcheki kanafanana na joti
2025-12-25 05:12:30
2
user4847209615699
Rahabyohn-Og :
wewe konda ungehamia chanika ningefurahi
2026-01-01 11:54:29
2
kr_monster255
Abdtalent :
penda kaz yako🤣🤣
2025-12-04 20:29:45
2
laymbengari
laymbengari :
kwahali hii ntapitixhwa kituo🤣🤣🤣
2025-12-05 17:49:01
2
mudric_s9
Mudric_s9 :
3/3
2025-12-10 07:58:53
1
ekoniaya
EKONIYA :
nimeipenda hii
2025-12-24 17:39:22
1
binsaid11
Bin Said :
✌️
2025-12-04 17:57:59
1
To see more videos from user @mhasibuwadaladalatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About