@pigwatetanus1: Ni mbayaaaa😂#memes #meme#foryou #goviral

pigwatetanus1
pigwatetanus1
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 05 December 2025 09:34:23 GMT
183315
20779
261
3391

Music

Download

Comments

kreevens9
kelly :
watching this after nimeblockiwa 😂😂ati I don't know how to talk in a romantic way 😂.. kwani huku njee mnaongea mki moan 😩💔😂🤌
2026-01-14 03:36:20
646
lun62844
lun :
hujaitwa bare minimum
2025-12-06 20:09:16
325
naynanc
HerOwnEra :
we ni mbwaaaa nonchalant niya wazungu😂
2026-01-14 03:32:01
198
marctonw
Marcton :
i don't understand why i should struggle to keep an animal and feed it then be romantic to make it happy
2026-01-17 05:23:00
49
user3227045817741
Mbichwez EA :
mtu mzima anataka kubembelzwa na hii economy
2026-01-14 03:31:22
34
abuuuuu006
Abuuuuu :
aliniambia Niko na madharau na kiburi.....😬😬😬😂
2026-01-14 07:05:48
27
_queenberneditte
_queenberneditte 🧚🏾‍♀️ :
Rafiki zangu Wamesema mm ni nonchalant 😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-01-13 19:15:21
21
brian_kabasa
Brian Kabasa :
nishaitwa roho ngumu ndio maana sipendwi na watu 🤣🤣🤣
2026-01-13 16:23:30
41
certifiedloverboy.4689
🇰🇪Otieno🫶 :
anadhani ni ai😂😂
2026-01-13 07:55:13
97
aggy933
aggy933 :
wewe sema hujui kusocialize na watu😁😁😁😁
2026-01-15 05:34:13
8
keyah18
Sabrina✨🤍 :
Mnakuanga maumbwaa
2026-01-27 17:13:22
6
jt_kenya
JT 🇰🇪 :
Anadhani mimi ni AI 😂🤣😅
2026-01-14 12:12:08
20
guzman.sparta7
Guzman General :
mimi naitwa narcissistic na mimi msee nimetulia na jaba yangu tu😂😭
2026-01-14 09:17:22
9
chimie715
MemeLord_Z💧 :
Dem anapark mwenyewe anaenda kwao na fare yake then anataka nimutumie fare ya kurudi...saa hii anadhan mm n AI 😂
2026-01-14 12:36:25
6
kenyafinest01
KENYA FINEST :
hapa complains ni simpendi🙌ati juu nikipiga simu asubuhi niivo....kwn uku nje mnaifanya aje🤦
2026-01-16 12:25:17
12
kay52mu3ic
Kay52🤑 :
utashinda umechekacheka kama mjinga ndio usionekane nonchalant?jifunze kujiappreciate venye uliumbwa,smile when necessary
2026-01-16 12:57:10
7
philipokumu4
philipokumu4 :
Mimi huyo ame nime blockiwa juu sija compliment her nails😅kwani huku nje mna compliment vitu za kipuzi😅
2026-01-20 22:10:45
6
family.fun813
family fun 😊 :
this year heri wajikatie wenyewe 😅😅
2026-01-13 22:26:57
9
d.re_xx
🌟shaban :
ati kwani hii roho yko umetoa
2026-01-13 10:17:13
12
faithmumbua94
M.U.M.B.U.A :
haujaulizwa,"kwani hunanga feelings 😂😂"
2025-12-23 13:11:53
20
j.maingi
Maingiiii⭐ :
Mimi siwezi simp 😂😂nmetoka kuambiwa I’m too nonchalant for a woman
2025-12-16 19:52:54
39
sincerelychichi1
SincerelyChichi🦋🤍🐚 :
😂😂😂😂😭💔Aiyaaaaah haujaitwa bado devil 😂😂😂😭💔
2025-12-13 18:03:26
36
fanna4412
@fannia :
vocabulary yangu...ok,poa, fiti.....Sina mambo mengi ya kusema jamani😂😂
2026-01-14 06:47:45
8
shadowace521
ShadowAce :
mimi ata huwa siongei tena ukishaanza kuniita hizo majina
2026-01-14 14:18:01
5
dan_ke4
Dan KE :
kuna kengine nlimuweka talking stage for so many days hadi ananiuliza uko sawa tukiw friends tu ivo ...weh! hajui sitaki mambo mingi siku hizi 😂😂😂😒
2026-01-13 15:25:07
7
To see more videos from user @pigwatetanus1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About