@oldskool_26: #viraltiktok #oldschool #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok #tanzaniantiktok🇹🇿

Oldschool
Oldschool
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 06 December 2025 09:11:09 GMT
79364
4353
90
210

Music

Download

Comments

luppie15
Luppie :
Ngoma yangu bora ya bongo fleva crunk ya muda wote 🔥💯
2026-01-05 20:38:29
3
georgemgaraganza
George Mgaraganza :
enzi hizo hunibandui bonga na star tv ya fatma shemeta
2025-12-09 10:28:28
12
amosafrica
Amos Africa :
Hawa jamaa walikuwa mbele ya muda sana. Producer naye aliua kwenye hii ngoma! level za mbele
2026-01-17 11:21:41
5
kelvinmwenda713
KELVIN GLEN. :
Back in days..... Watoto wa 2000 hawaelewii kabisaa
2025-12-08 06:11:35
9
sharifu.lucas
Sharifu Lucas :
daa izi ngoma aziishi utamu kama zimetoka jana
2025-12-06 22:16:12
15
munya.empire
MUNYA EMPIRE :
hiii nyimbo sehemu niliokuwa nikitulia kusikiliza kwa makini ni kwenye chorus tu😅😅
2025-12-25 14:35:31
4
omarysella7
omarysella :
sasaivi akuna nyimbo kabisa bonge Moja la shwagg
2026-01-08 22:21:06
3
usertheman19_
Silas :
blue alikua mnyamwezi sana nyie
2025-12-08 19:21:29
2
speazasimu
Bozēn-dēk :
Watu wanamjuwa Lunya ila kiwaside hawa ndio wanayamwezi
2025-12-09 08:28:02
10
user8323414613623
zanzibar 1 :
blue alishafanya kila kitu ktk huu mziki na ustar
2025-12-25 07:49:52
3
mponjoli_esm
Mponjoli Emmanuel :
micharazoo walikua balaa sana enzi hizo.
2025-12-10 21:10:49
3
mrfibre87
mrfibre87 :
Hii hatari sana, i think hata blue mwenyewe sasa hivi yeye ni fan wa blue wa zamani
2025-12-29 10:08:57
4
user6118367375302
Moses Mrami :
mm apa mmeniona apo jamaa anachezea mpira nimevaa tsh ya red kwenye mstar ktk
2026-02-04 10:48:50
1
enjinia_chacha
Enjinia™ :
nguruwe mweusi🤣
2025-12-07 13:54:03
2
user299161346210
N.B.A :
nice song
2026-01-15 22:27:34
1
salehmuhammed06
user7143337232146 :
Hi
2026-01-24 20:54:49
1
usertheman19_
Silas :
p1 black naye alikua anangomq za mbele sanaa
2025-12-08 19:23:51
3
user8323414613623
zanzibar 1 :
blue alifanya watoto wajue game blue star toka mtoto
2025-12-25 07:49:28
3
mfamao_sunnah
Official memphis :
daaah huyu nguruwe mweusi sijui kapotelea wapi😂😂
2025-12-28 11:01:56
1
juma.issa45
Juma Issa :
duuu kumbe jamaa alikuwa anajitaa nguruwe mweusi sikuwai kujuwa mpaka now nimeiona ndo nimejuwa 😄😳😳
2025-12-07 10:31:55
1
stanyclassictz
MMG-AUTO :
Nisikilize🎼🎶
2026-02-04 04:13:56
0
manenokilingo855
Maneno Kilingo :
ya kitambo ila bado kali sana
2026-02-15 11:10:57
0
abdarakube
Abdara Kube :
mambo
2026-02-21 22:23:33
0
muftikopa
Mufti :
this is real game ...long time man
2026-02-05 16:34:38
0
bagzbunnyjr1
Bagz Bunny Jr. :
great memories,💕 from Kampala
2025-12-09 11:15:38
0
To see more videos from user @oldskool_26, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About