@amosmuyambi: Malengo ya Mungu. @IsraelMbonyi Atakaye kuwa na wema Ahitaji kuheshimiwa Basi aende ayatafute wakutenda mema bila kusita. Asiyejali macho ya watu maana yao sio muhimu. Mimi najua yangu malengo ni mema sio mabaya🙏 #gospel #rwandatiktok🇷🇼 #israelmbonyi #swahilitiktok #swahiligospel