@digestivesolution1: 📌 Kwa wagonjwa wengi wa Acid Reflux (GERD) Reflux kali inayochoma koo kila siku inaongeza hatari ya kupata mabadiliko kwenye seli za koo kwa muda mrefu — ambayo yanaweza kupelekea kansa hasa ikiwa: Reflux imekuwepo kwa miaka mingi Kuna sauti kukwama mara kwa mara Koo kuungua kila siku Makhozi meupe yasiyokwisha Ukiwahi mapema unaweza kupona kabisa., #acidreflux #healtheducation #usa🇺🇸 #throatcancer #tanzaniatiktok