@lolojikoni: Supu ya Babaa 😍🙈 Unaweza ukatumia Royco Sotojo Cube kunogesha supu na michemsho ya aina zote @royco_tanzania 📌 Chemsha nyama na viungo upendavyo. 📌 Sotojo Cube ina chumvi tayari hivyo utaiweka kwanza kabla ya kuongeza chumvi zaidi. Enjoyy😊

Lolo Jikoni
Lolo Jikoni
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 08 December 2025 12:31:19 GMT
145149
1823
33
672

Music

Download

Comments

worship_online
user7591490369105 :
Kwani lazima muongee Kama malaika
2025-12-08 18:57:38
11
benedi515
judy :
Wife material congrats yu know your task to mbaba wako keep loving him
2025-12-17 12:41:31
1
user4511510859303
Davidshujaa :
awe sinyi nikiona supu kama hiyo unapasupu afu mm nikupe million moja
2025-12-09 11:05:47
1
officialpcm03
OfficialPcM :
hiyo siyo supu ni mboga. supu haiwekwi makorokoro, inawekwa chumvi tu
2025-12-09 06:40:09
2
user86347990
katoto❤️❤️ sweet 🎂 :
ww nae mpk awe nazo sasa km Hana kitu anapenda kupika nyumbaa😂😂😂😂
2025-12-09 09:20:17
2
myrahyusuph
🎀BABE🎀 CUTE🤍 🦂 :
huyuu wangu hata umwandalie nini kama hajiskii kukupa hakupi ng’oooo😂😂😂
2025-12-08 17:25:17
8
mysarah.bint
Mysarah bint :
kwani alo sema lazima chapati tule mbili ninani
2026-02-09 11:39:16
1
makishu0
makishu :
Wachaga bana sauti imetulia
2025-12-10 15:21:27
0
detective_992
Detective_992 :
Baba alikupa ulichomuomba?
2025-12-09 11:51:13
0
officialshayoo
OFFICIALSHAYOO :
apo umefeli kuweka makemikali hayo
2025-12-09 11:19:56
0
hyam294
💖hyam40.. :
unapika.kma mie supu ya mboga mboga tamu sana
2026-05-04 07:39:51
1
mr.sam487
mr.sam487 :
@lissy04 🥰
2025-12-09 17:50:38
0
nfawzia
Fawzia Gabriel :
🥰🥰🥰
2025-12-11 11:58:49
1
amosdonald4
Amos :
🙏🙏🙏
2025-12-27 16:45:57
0
tanzanitesanitaryware
Tanzanite sanitary ware :
@Sarah—lee
2025-12-08 19:05:14
0
12345e058
12345 :
😳😳😳
2026-07-02 16:54:33
0
langeni007
Breezy :
Supu imenona aisee... unaeza hata muomba figo
2025-12-09 15:44:08
1
To see more videos from user @lolojikoni, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About