@fredsaloon: Elf 45 rasta pamoja na kusuka . Piga simu kawaida au Whatsapp +255714528011 . Tupo kinondoni mkwajuni na Tupo pia Kigamboni Mnadani . Vinyaji ni Bure saloon kwetu / Soda / maji / ice-cream nk . Pia chakula ni free Kila Siku kuanzia saa 7 mchana mpk saa 8 . Tunawapenda wateja wote na kuwathamini wote karibuni ❤️🙏 . #fredsaloon #Tanzania #viral #hair #miami