@chriss_melody_25: TUNAISHI ILI TUTIMIZE MALENGO, MALENGO HAYAJI KWA KULALA, MALENGO HUJA KWA KUPAMBANA, MALENGO KILELE CHAKE NI MAFANIKIO. @princedullysykes @Nyotabigi @jay melody @iam_clony @Kondela @SONIC🦋💫 @TAJIWIDI @Afmradiotz @MC Tony_Official 🇮🇳🇲🇿🇿🇼 @MC Tonny @Officialzuchu🔹
chriss_melody_25
Region: TZ
Tuesday 09 December 2025 13:16:02 GMT
Music
Download
Comments
badwizzy1_ :
Mungu Naomba Mimi na Huyu Anasoma comments tufe leo maan tumechoka kuishi😳
2025-12-10 16:18:44
188
mr Raadiya :
umetisha kaka mpakanimelia nimemkumbuk x😭😭nimeweka mpaka status jmn
2025-12-11 18:29:29
96
lukezo :
maliza kuimba chap niende kunya mzee
2025-12-12 18:37:21
119
MiSs CaRrY💍💍🦋🦋 :
kina lalalalalalalalalah walipotokea sasa😅😅
2026-01-10 22:21:47
9
Bloodie Ricky😎😎 :
👊🏿👊🏿 please jina la wimbo
2025-12-10 09:59:16
44
Jojaz🌸 :
Aka ka vulana wakaludishe bss Jmn Ndo mshind wangu me🥰
2026-04-14 09:08:37
20
SASE 46 :
unaomba jina la wimbo ye anatuma emoji ya kucheka ila bongo☺️☺️☺️
2025-12-10 14:36:34
21
STUPID BO!FREND :
hizi maushauri kwenye caption yalikuwa sio necessary
2025-12-19 06:28:31
5
Cur_poppah🫧🦋 :
umetisha asee🔥🔥🥰
2025-12-16 17:17:44
5
hafsa :
Daaah mpaka natabasam mwenyew 🥹... unajua mpaka unajua tena
2025-12-16 12:40:05
10
it' me thrving :
kumb ni handsome ukivua cape
2025-12-10 14:26:58
8
BENNY :
hapo mmoja angeingia kama cheedbenz
2025-12-12 03:28:10
6
suleyman :
Umeipatia Kuimba iyo Nyimbo Kama Ndo Mwenyewe Dully
2026-01-09 04:19:42
5
BUSARA TV :
kuna cod moja anakosea mpiga Guitar ebu ifanyie vizuri 😂😂
2025-12-22 12:06:35
5
Ibrahim Mussa922 :
Tunaishi ili tutimize malengo, malengo hayaji kwa kulala, malengo huja kwa kupambana malengo kilele chake ni mafanikio
2025-12-20 05:12:08
5
Massy Rich 🎶🎼🥁 🎻 ♊ :
🥰🥰minakupenda 🥰🥰
2025-12-11 10:04:39
5
queen Mushi :
nakupenda hii nyimbo miaka yangu yote dj akipiga lazm apat sasampa
2026-01-09 06:23:02
6
Shedy_samm :
Kama unaona jamaa Anajua gonga like hapa ✌️
2026-01-04 23:27:27
6
lutego changarawe :
dully akiskia mnavoimba atamind kinoma😂😂
2025-12-13 22:09:35
8
tyner twigah ❤️ 💫💜🔐 :
20/20
2026-02-04 15:13:16
1
Noreen edwardo😍🥰 :
Unajua mbaka basi🙌🥰
2026-04-30 18:22:57
3
𝑮𝒊𝒍𝒃𝒆𝒓𝒕_𝑴𝒂𝒑𝒆𝒔𝒂 :
wale 15/15
2026-01-08 08:16:10
1
rwambobrocker :
20 kwa 20 anzisha
2026-01-30 12:55:51
2
La Vida 🤍 :
jamani. sio kwa ubaya ila naipenda hii than original ❤️
2026-05-06 22:35:31
4
Mr Drug😱 :
Uki like 5 na like zako 10 wahi ni offer🔥
2026-01-04 14:14:30
3
To see more videos from user @chriss_melody_25, please go to the Tikwm
homepage.