2 Wafalme 20:1
“Siku zile Hezekia aliugua, akawa karibu na kufa. Nabii Isaya mwana wa Amozi akamjia, akamwambia, Bwana asema hivi, Tia nyumba yako katika utaratibu; maana utakufa wala hutaishi.”
2025-12-11 05:00:33
51
khalifa :
Jamali musiala😂😂😂
2025-12-10 18:55:02
60
Dastani Moro :
endeleea na wahenga baba hiii inakufaa sana
2025-12-11 13:04:46
45
_thesketcha_✍️ :
Ukivaa kofia hilo ndonga linajificha
2025-12-11 07:45:55
7
Kipngetich Maximin :
Siku njema nimeiona usiku,, wahenga wanashangaa 😂😅
2025-12-10 19:14:20
26
Kassim :
sijaelewa hiki ni kitambi au busha?
2025-12-11 07:08:03
16
𝐖𝐫𝐥𝐝 𝐨𝐟 𝐥𝐞𝐢𝐧𝐜𝐲🇧🇻 :
wahenga hawaamini pia n profesa😂😂
2025-12-11 20:02:54
10
Ke_Drama :
hayawi hayawi ndio hii kuma usoni.
2025-12-11 23:40:22
5
أحمد❤️56 :
Hatimaye wahenga wamempata mtetezi wao😅😅😅
2025-12-11 08:56:34
5
iamkindah_ :
hiiii kali muhengaa umetishaaa🤣🤣🤣
2025-12-11 05:20:19
15
Khalfani Kiluwa :
sijawh kukubali hata siku moja lakini kwa hii idea ni siwe mnafki umeweza mno
2025-12-10 22:28:41
77
Baka wa kweli :
Huwez ongea usioneshe meno half nikunyime like
2025-12-11 06:47:19
7
Go brave Go rich 🤑 :
ilianza kama utani sasa kijana anazidi kuonyesha uwezo mkubwa sana na ubunifu wa kipekee , never give up n God bless you 🙏🙏
2025-12-16 17:45:41
5
𝐍𝐠𝐞𝐭𝐢𝐜𝐡✰ :
𝗝𝗮𝗺𝗮𝗹 𝗔𝗽𝗿𝗶𝗹, 𝗠𝘂𝘀𝘁𝗮𝗳𝗮
2025-12-11 17:14:35
5
mudathir_Abdi :
wahenga mulisema matatizo huja na kupita... mbona kwa timu ya simba yameweka makaazi!?
2025-12-10 23:18:33
9
SIUUUUU :
Jamal June 😆😆
2025-12-10 20:33:01
6
Catalyst :
ni karibu sio kalibu😃😃😃😃
2026-01-29 15:53:42
1
@Ommy-37 :
Noma sana una ki2 utafika mbali sana 🤝🤝
2026-01-29 09:54:16
2
mejuka. meju :
professor 🤣🤣
2026-02-03 11:40:01
1
Keny Thobias :
san family
2026-02-27 18:24:08
1
Nickson sumery dodoma :
Unajua nacheka nini
2026-01-21 18:47:13
1
To see more videos from user @officialkudoboys, please go to the Tikwm
homepage.