@memeshub0748: Tumia akili 😂😂✋#viral #nairobitiktokers #rush #funnymemes #God

MEMES HUB 😂 ✓⃝
MEMES HUB 😂 ✓⃝
Open In TikTok:
Region: QA
Thursday 11 December 2025 16:41:41 GMT
197763
9811
165
839

Music

Download

Comments

user1526002652655
Cess🤩🤩 :
niliachwa nayo nikatoa,we listen we don't judge
2025-12-26 06:33:02
92
angledee254kenya
Arsenal Baibe 🌈🇧🇭 :
Mm ata uniwache na ukimwi siezi lia😫😫😂😂😂😂😂😂😂
2026-01-26 10:12:02
15
e.r.n.a.h
🦋w.a.m.b.u.❤ :
aliniacha na mimba na mm nikaenda maria stopes😊☺️if i perish i perish😅
2026-02-05 06:04:47
3
winnynyachnma
nyanchama❤ :
😂😂imagine hata nashangaa nilikuwa nalia nn
2025-12-23 11:34:14
14
dicholnyarkoyugi
dichol nyarkoyugi🥰 :
Mimi hata nikiachwa na mimba silii😂😂
2025-12-20 20:29:58
22
tiffan_001
Latiffah 🌻 :
Nilifunga alhamis sunnah ijumaaa nikatoa shukran na sadaka juu 😁 mungu mkubwa nyie acheni tu ✌️
2026-02-03 12:31:25
3
elsy.kelina
Elsy Kelina :
Wacha nipabguze machozi
2026-01-30 20:38:02
1
....miliana
milliana🌙 :
na wale tuliachwa na watoto tufanye😂😂😂😂
2025-12-29 04:27:35
11
user3728610761302
spin dokta🤜 :
mtoto mjinga 😈
2026-01-14 19:55:45
3
sabby_rene
Irene Sabinah🦋❤️ :
mtoto mjinga kama babake🤣🤣🤣🤣
2026-01-25 15:17:14
2
vellpinky0
vell💝💝 :
nimeacha kulia😂😂
2026-02-06 09:40:05
1
langat924
langat :
flowers mko wpi
2025-12-13 08:23:24
6
cammycal
camila🖤✨ :
my fyyyyyyp mtaniua jamani😂😭
2026-02-01 07:49:24
2
phoebeariana0
Phoebe ma'Ariana :
Mimi niko na mtoto ana mfana wat a heartbreak 💔🤣🤣🤣🤣
2025-12-31 05:51:50
4
user61426675211105
Cate msoo :
nililia na mutanisamhe coz 2lirudiana😃😃
2025-12-27 18:29:23
2
1jano_chech
Cheyechii🇰🇪🇨🇦 :
Na mimi mwenywe niliachwa nayo ndasema nini 😭😂🫴
2025-12-20 18:14:03
1
jimmyfrancis75
Trevo boy :
anawambia na watu ety me mbwa kweli sio uonezi uo 😏
2026-02-05 10:12:45
1
oliviouschepkirui
I'm Kakuu :
kwanza hata game hakua anajua😂😂
2026-02-20 04:23:17
0
user6168079120693
baby helen :
so mm tatizo moyo
2026-01-01 19:39:51
2
yulahj
꧁YU_Lah꧂ :
tena natoa hadi makamasi
2026-02-03 23:03:46
1
linqueen895
linqueen :
unasema Amen😂
2026-01-12 07:48:31
1
matari731
Aisha :
niliachwa na watoto na vile alienda bila baraka now ameparara mpaka nasema anyii hii dunia ni duara kweli nafanya kumpa ela ya chai
2026-01-02 23:44:02
2
shununu65
ms yumnah💜💍 :
daahh mm nimebeba
2026-01-09 07:21:08
1
jinikisurisuliofficial
Jini kisurisuli :
Bora aniachie mimba na sio kisukar jaman🤣🤣🤣
2025-12-31 18:22:46
1
254brown2
black pearl 💕 :
hello 🤣🤣🤣
2025-12-23 17:19:00
1
To see more videos from user @memeshub0748, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About