@_domtwnlife255_: Mpaka tuwaimbieeee … ndo mvae nguo… 😂😂😂 #tanzania #tanzaniatiktok #dodomatanzania🇹🇿 #tiktokdodoma #fyppppppppppppppppppppppp

_DomTownLife_
_DomTownLife_
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 13 December 2025 10:43:19 GMT
43509
1627
203
59

Music

Download

Comments

cresswell0
SARAMAYAI dodoma :
huyu mwamba anafanya kila biashara anacheza namsim tu😂
2025-12-13 11:37:53
8
tembomediatz
tembomediatz :
Alianza kuuza miwa song lilikuwa PATAPATAAA PATAPATAAA 😂😂😂. Akafika kweny mazulia yakufutia miguu sing likawa PATAPATA MAKANYAGIO 😂😂. Sahv kula chuma hiyo ya nikabuu😂😂
2025-12-14 09:54:01
5
alhabeeb.hassan
Alhabeeb Hassan :
ukutane siku anatembeza shanga Sasa nd utacheka😂😂
2025-12-15 09:49:05
5
franksnofrg
It’s MILLY🧸🎀 :
Hahah huy aligimbeaga udiwani haukupita at kura za maoni😂😂😂😂
2026-02-06 10:35:06
4
judithmaligana440
Judith Maligana440 :
ameuza adi karanga na anaimba sio poa
2026-02-03 08:29:36
2
mrscha6
Charles vyombo store :
Wailendee 😂😂😂
2026-01-31 12:09:59
1
moshi1280
Moshi athumani omari :
kikweli namkubali sana
2026-02-11 06:36:56
1
khadija56alhaji
sweet dee ❤️ :
mi napendaga akiwa anapita na makanyagio jamani 😂😂😂
2026-02-01 06:11:22
1
ombenidanieli475
BOAZI JR🫶 :
simuaminigi huyu nahisig ni usalama kabisa mimi🤣🤣
2026-02-09 17:17:22
1
alpagut111
ALPAGUT :
alianza mwonzo kabisa na kashata ya ufuta au yeye anaita wairende
2026-02-01 16:07:33
1
fetty7218
fetty🦋🎀❤️ :
Ufuta amemaliza
2026-02-06 11:28:07
1
user59788074684610
unique gal🍃 :
vibutula vya wana vibutula vya watoto😂😂
2026-01-10 19:27:59
6
user591414719285
Bad chapter :
afu ana yumba Kali tu na maisha mazur kwa kazi yake iyo iyo
2026-01-30 12:20:27
1
neemabonphace
my name is...?!🤔🤠🫣👌 :
kama unaish dom na humjui huyu Bora uhame tu🤣🤣🤣
2026-01-31 12:50:42
1
lavishly68
lavishly ❤️ :
Jamn 😂 watu wapo makinin hii siku ndy nilikuwa nimesimam hpo kunisalimia 😂😂😂😂😂
2026-01-26 02:49:29
1
ney.amour8
Ney Amour :
😂😂😂Ebwanaaa alikuwa anauza ufutaaaa anavituko huyu bwana
2026-01-30 21:46:44
1
user6756783098814
yohana omary :
Mwamba aligombea udiwani ila kula haziktosha nakaa nae kitaa kimoja
2026-02-04 17:11:33
1
saramoshi275
Sara Moshi :
😂😂😂😂Apo ukute anauza makanyago yani nyie 😂😂😂
2026-01-20 12:53:10
0
ummyfaizan2
miss Zahara 😘🥰 :
hahahaha dah namkumbuka sana jamna huy baba kama kipindi hicho na pita chinangali kwa waarabu pale 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
2026-01-24 20:19:41
0
rajy680
Rajy :
Huyu raia sianauzaga mpaka miwa huy
2026-01-29 03:37:38
1
kipa.king
Kipa King :
uyo watu walisemaga katolewa figo na amekufa kidogo tupitishe rambirambi
2026-01-28 10:58:35
3
barnabascharles33
barnaba Charles :
Ila warngi 😂😂
2026-01-19 13:22:50
1
winnykidscitydodoma
WINNY KIDS DODOMA :
hahhahaah
2026-02-19 17:05:39
1
saedsaeed32
saedsaeed32 :
😂huyu anafanya biashara nying hata miwa na nyimbo zake hvhv😂
2026-02-06 18:30:17
1
user798622596185
DIXAXTER :
hahahahah dahh had huy jaamaa umempat we kwel wa dom🤣😂
2026-01-05 13:50:55
2
To see more videos from user @_domtwnlife255_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About