@nusratyochu: 🍊 ORANGE ENZYMES EXFOLIATING BRIGHTENING GEL ✨ BENEFITS (Faida) • ✔️ Huondoa dead skin bila kuumiza ngozi • ✔️ Hufanya ngozi kuwa bright, fresh na glowing • ✔️ Husaidia kupunguza blemishes na rangi isiyo sawa • ✔️ Hufanya ngozi kuwa laini na soft • ✔️ Hufungua pores na kupunguza dullness • ✔️ Hutoa exfoliation ya mpole (mild) lakini yenye matokeo • ✔️ Inafaa kunyanyua uchafu na mafuta yaliyokaa muda mrefu 🧴 HOW TO USE (Namna ya Kutumia) 1. Safisha uso kwa cleanser yako ya kawaida. 2. Kausha uso waachwe uwe mzito kidogo (semi-dry). 3. Weka kiasi kidogo cha gel kwenye uso. 4. Massage kwa dakika 1–2 mpaka uanze kuona uchafu/dead skin inatoka. 5. Osha kwa maji safi. 6. Malizia na toner + moisturizer. 👉 Tumia mara 2–3 kwa wiki tu (si kila siku). DODOMA 0718038061