Wazungu wako na mipango ya kupeleka watu Mars, sisi tuko busy kukanda watoto matako😂... nchi ngumu hii🙌🏿
2025-12-16 19:35:42
706
thee_momo7395 :
Niambieni kweli jamani hii inafanya kazi kweli? Nikizaa baby girl nimfanyie ivi 😂
2025-12-16 10:38:55
260
madam G🇱🇷🇹🇿 wa BERITHE :
tumia mafuta ya nazi ndo linakuja fasta shepu
2025-12-15 15:58:14
176
CHAUDELE :
aposto kuna muujiza😂
2025-12-15 14:09:31
182
Asakee_wyfuuu🥹♥️ :
Mimi nilikaa kabla sijakauka 😩😂
2025-12-16 09:50:44
195
Judie ~ivy🦋 :
Unamkanda akiwa uchi unatumia mafuta ya nazi mi mwanangu kishepu👌
2025-12-16 08:05:52
31
Lil Makos :
Chamganya hamira na baking soda kwenye maji masafi. Hakikisha mchanganyiko ume-mix vizuri then nunua bomba la sindano nyonya huo mchanganyiko mdunge yataumuka haraka sana
2025-12-16 07:45:36
57
💙💙 :
Hv mfano mama mtu ni pasi sa mtot tako analitoa wap?
2025-12-15 11:45:24
40
Mavazimart :
tuandalie huyo tumshone vizuri😅😅
2025-12-17 19:40:30
11
Hafidh :
😂😂Samaki mkunje ingali mbichi
2025-12-15 15:34:48
20
Yusrah ♥️🫂 :
Daaah nizaeeee Jmn 😳😭😭😭
2025-12-15 17:45:34
5
Boniface Ndidi :
sawa mdogo wake mungu endelea kusaidia kuumbaa
2025-12-16 16:10:19
9
makundi's grand daughter :
kama Ipo IPO tuu hata usipoitengeza mamaa
2025-12-16 10:48:08
6
@Humble j :
naomba like zenu jaman ili nirudi tena😩😩
2025-12-15 17:48:28
10
Haleemah🦋❤️ :
Unahangaika kukanda shepu..kinatokea vizur anafika miaka mitano anakuwa bonge nyanya😭
2025-12-16 18:08:19
25
Rich kid 💰 :
Kidumu chama cha VPN 😅💔💀
2025-12-17 22:25:16
21
Careen Martin :
kufanya hivi mwisho mtt wa miaka mingap
2025-12-16 08:05:56
5
Malanya :
muandae 2030 nitakuwa mkwe wako
2025-12-15 17:32:11
5
faby conshaz :
kuumba ni kazi ya mwenyezi mungu Binti😏
2025-12-15 18:58:56
6
sultana❤ :
nikikumbuka jiran yangu alifanya hivyo lkn mtoto amepigwa pass nachoka mm 😂😂
2025-12-16 13:00:18
7
Miss ezy🦋❤️🔐💫 :
😁😁😁😁ila ww
2025-12-15 11:53:55
9
G♥️♥️ :
ngoja nizae nam wangu jinsi ntakavyomuumba 😂😂😂😂
2025-12-15 12:06:41
5
Dorie🦋 :
Kama una mafuta ya ng’ombe tumia tako lazima lije ata kwa viboko 😂😂
2025-12-15 17:27:34
5
To see more videos from user @kidsfashion62, please go to the Tikwm
homepage.