@mcluvanda: Mafanikio yanaweza kuwa mepesi na rahisi kwa kuyatazama kwa mtu, ila kuyaingiza kwenye vitendo wewe binafsi utagundua kuwa si rahisi kama ulivyo dhani kabla. Usikate tamaa unapo kutana na Magumu katika kutekeleza ndoto yako yakufanikiwa bali kuwa mwepesi kujifunza hususani kwa walio fanikiwa. Yajue magumu yao ili upate uzoefu wa kupambana na magumu yako.

MC Luvanda
MC Luvanda
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 15 December 2025 10:56:12 GMT
3445
199
9
11

Music

Download

Comments

rajabkahindi11
Rajab Kahindi11 :
kiongozi wetu luvanda
2025-12-16 03:46:11
2
mihigoanna
Mihigo Annamode :
na shukuru 🙏
2025-12-15 12:39:05
1
kaboyonga
KABOYONGA :
big point,plan huwa imenyooka ila ukija kwenye kutenda ugumu upo as you say uvumilivu
2025-12-15 16:44:48
1
fbmagesa
fbmagesa :
well said brother
2025-12-15 17:29:18
1
calleb.olssens
Calleb Olssens :
You are right brother, the wheels of success spins slowly.
2025-12-15 21:56:51
1
ayshaabubakary
Aysha Abubakary :
Crush 🥰
2025-12-16 07:13:58
1
matajistore
MATAJI STORE ONLINE :
wahenga hawaamini kama mwanzo mugumu Kwa mtoto wa trump
2025-12-16 12:37:30
1
briandarling999
brian mwandambo :
Ni ngumu kweli?! au mifumo haipo sawa? Huo ugumu umewekwa makusudi, but why?
2025-12-15 13:14:10
0
happylaizer91
love me💟💚💚 :
🤣
2025-12-23 13:12:02
0
To see more videos from user @mcluvanda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About