@planetmanyanda: Ukweli ambao umefichwa kwenye hii Dunia

Manyanda African Power
Manyanda African Power
Open In TikTok:
Region: GB
Wednesday 17 December 2025 15:30:03 GMT
95732
8174
218
276

Music

Download

Comments

user9092443528070
Edward Charles :
tuko pamoja kaka
2025-12-17 19:31:50
12
managermss4
managermss4 :
Binaadamu tunatofautiana kwenye maana ya mafanikio, wapo wakipata utajiri wanaamini kufanikiwa, wapo wanaoamini utulivu wa akili ni mafanikio, wengine mamlaka na wengine ni maisha ya kiroho usiku mchana hawauhitaji. Kwahiyo kuwaaminisha watu mafanikio unayoyaamini ww huko pia ni kukaririshwa. Yapo mafanikio yanatafutwa mchana na yapo yanayotafutwa usiku. Ukiamka kiroho bila ya mipaka utaelewa kuwa mtu hafundishwi kufanikiwa bali husaidiwa kufikia anachoamini ni mafanikio. Kila mtu wa spiritual ana concept zake na nyingi zinapingana pia kwann unaamini ww upo sawa kuliko wengine? Mafanikio ni maamuzi tafakari
2025-12-25 21:45:42
13
mrmalilo2
KING 👑 d@vid :
HII CODE MPUUZI AWEZI KUELEWA.
2026-01-19 11:07:20
3
mwanahamhamis
mwanahamhamis :
naelewa sana hapo
2025-12-17 18:38:14
3
ashton_tze
Ashton :
Nguvu kubwa ipo gizani, Ni wachache sana wanaujasiri wakuitafuta nguvu iliyofichwa gizani.
2025-12-18 06:16:42
15
user76615981034668
RAIS :
😃😃😃 Hapa napata picha kwambalii ndio maana wachina kazi zao zote za hela wanazifanya usiku naleo duniani wapo juu
2026-01-11 08:46:14
10
georgewilson7935
George Wilson :
kak ni kwel nd maan matajir wengi awataki kukupa sir ya kufanikiw kwaoo
2026-01-28 08:30:34
2
mosesstanley8
moses stanley :
kama nakuelewa ivi
2026-02-21 22:41:30
2
tanzania.boy.tz
TANZANIA-BOY49 ☑️ :
Leo ndo nimeanza kukuelewa
2026-01-28 19:43:28
2
user5816155682578
Adolphe DJ :
mimi sioni ukweli hapo🤣🙅
2026-01-03 20:54:09
0
clevas90
clevas :
nakukubali Kaka manyanda ukweli huo
2025-12-17 16:22:55
4
user9061628588005
fire :
baba na mama wajifiche wap? au ndo kuwatoa sadaka
2025-12-30 20:26:28
2
kazimildaniel
Kazimil Daniel2004 :
nisawa unacho ksema👍👍👍
2025-12-18 09:00:58
2
delilah_ashley
🌺Delilah_Ashley🌺 :
nisaedie na mm ni fanikiwe
2026-01-16 15:34:13
1
etiennemao
zedong :
hakika bro, ukweli lazima tuambiwe
2025-12-21 16:44:01
1
filbert9208
Filbert :
Kaka manyanda unajuwa nimecheleweshwa sana katika ulimwengu huu broo ngoja nipambane lazima nitaanza huu mpango
2026-02-05 07:43:21
1
sharoncheye
Shaz :
power 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2025-12-17 15:55:51
2
phlossy0
phlossy :
🥰🥰umenisaidia sana .
2026-02-27 16:30:07
1
allyg36
allyg36 :
Manyanda una kipaji tena una IQ KUBWA na bado upo kijana thx 👌
2025-12-17 19:56:29
7
user8042002943474
sauda@ :
nice
2025-12-18 08:34:46
1
out_cast487
+255 play list_out cast :
kwelii kaka
2025-12-24 22:56:07
1
bennyuser8652824128
mano Benny :
safi sana
2025-12-18 09:28:24
1
kiwale241
KIWAX 46 :
fact broo 👍👍👍
2025-12-20 11:14:59
1
user2181204514492
madiva :
wasio Ku amini waende wakalale
2025-12-28 06:10:52
1
nyandathedoni
Ňŷãňđâ Ťĥê đøň💰🛜 :
mafalifa tosha ni utajiri🙏🙏🦅🦅🦅🦅🦅
2025-12-17 18:13:14
2
To see more videos from user @planetmanyanda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About