@buggaty94: Huku usije kama hivi huvijui ndugu yangu #bajaji #boda #bolt #gas #cng

BUGGATY
BUGGATY
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 18 December 2025 17:24:21 GMT
89561
3227
195
179

Music

Download

Comments

maltin098
MARTIN :
kinachoniboa kwenye bajaji hamna nafasi kubwa ya kutombania🙄🙄🙄
2025-12-18 23:12:05
20
ms_sanoy
Ms_Sanoy ♡ :
Alafu mje muanze kuchajiwa kodi kubwa muanze kulalamika. Kula nyama nyamaza
2025-12-19 04:47:50
11
necha.aashenale
galip_capital :
Kwani nikimpa mkataba hesabu si 25,000... Ndani ya miaka 2.5 (miezi 30)
2025-12-19 17:42:38
7
alfaomari472
blond mr overtake :
umesahau pragi zinakufa sana
2025-12-19 19:58:09
5
rajonetz
raj_one_tz :
hyo bajaji haitumii mafuta kaka
2025-12-18 17:48:46
4
user942974mizambwa
MUME NA MKE :
changamka kutoa maelezo
2026-01-21 17:38:21
1
mgseif
mgs :
mafuta vipi?
2025-12-20 10:52:24
2
rajaboy428
St@r Boy Offici@l :
bajaj ya mkopo kianzio kias gn?
2025-12-26 12:52:48
1
vedasto48
Vedasto :
Hujaweka Michepuko. Bange Kuka. Sigara Nini kingine nimesahau 🤣🤣
2025-12-20 13:34:46
2
user15568143463910
baaty mssa :
mwang hesab nzuul pia nowe natamn udeleva bajaj
2026-02-07 15:03:01
1
yatatatalata
yahya :
tumia elim yak kweny biashar itakusaidia unakit br
2026-01-11 23:23:23
2
modricosmetics
modriCosmetic :
it possible
2026-03-12 14:45:39
1
shabanisailasy
shabani sailasy :
hamkamatwi na mapolisi
2025-12-22 20:10:21
1
winfridayuda
Winfrida :
so Kwa mahesabu ya haraka pamoja na mafuta ni 60000, ukipata laki Kwa siku unaakiba ya elf 40000 Kwa siku x 30 =1200000😂 sema nini au basi☺️
2025-12-19 10:22:21
5
its_jovin_tz
its _jovin_TZ 🤓 :
iyo bajaj inakunywa maj au
2026-01-22 21:16:08
1
user7519188745777
khalidseif :
vocha bado na mafuta
2026-01-11 19:47:53
1
kstarthegreat
Fanny love😀😘😍 :
SASA HIYO BAJAJI NI YA UMEME AU MANA CJACKIA PESA YA MAFUTA😃
2026-01-26 11:22:03
1
llenyjaka
allenjaka :
kwani iyo 20000 ya hesabu inakuwa mkataba au
2025-12-19 14:10:57
2
faijalajoseph7
faraja Tz :
sijaona ukitoa makato ya bolt
2026-01-12 09:24:36
2
princebonnytz8
princebonnytz8 :
Kipato ni Siri ndugu jifanye unajua Sana Mathematics utajuta, Kuna mtu hata laki 4 hapati kwa mwez wew unasema milion 😏
2026-01-25 10:54:01
1
manzyleah_17
manzyleah🇹🇿 :
ila service anafanya boss kama kumwaga oil na service ya miguuu ni ela ya boss
2025-12-19 22:28:03
2
hammysi
hammysi :
hujaweka kodi ya azam tv apo ili mama watoto asiende kwa jirani😅
2025-12-19 16:32:26
3
mr.rwega
Real 1ne :
hapo traffic ajakusalimia
2025-12-19 09:36:09
2
adito.theone
adito theone :
hujaweka kuibiwa bajaji na vibaka
2025-12-20 05:56:16
2
To see more videos from user @buggaty94, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About