@the.loft.hall: “Karibu The Loft Arusha – ukumbi wenye mandhari nzuri, eneo la kupaki magari, lift kwa urahisi wa wageni, mfumo bora wa sauti & screen pamoja na eneo maalum la kupikia! Fanya sherehe yako iwe ya kipekee. Wasiliana nasi: 0757842377 / 0685111399.” #TheLoftArusha #UkumbiWaKisasa #ShereheBomba #ArushaVibes