@fikrahuruzamuafrica: BIBLIA MBINGUNI NA MOTONI VYOTE NI HADITHI ZA KUTENGENEZWA NA WATU #chiondawachionda #afrika #gabon #kenyan #reel #mbinguni #dini

fikrahuruza_muafrica
fikrahuruza_muafrica
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 19 December 2025 11:17:46 GMT
1240184
33192
567
1377

Music

Download

Comments

mogange_
Mo Gange :
Kama kifo ni asili mbona wengine wakifa hawaozi
2025-12-19 23:37:56
24
didas.gobese
Didas Gobese :
Dini ni ujinga uliopitiliza
2025-12-19 14:33:32
239
antimadostic
Tito mwas.☆. :
vipofu wawili wanaonyeshana njia
2025-12-21 04:05:53
75
endihaston
endihaston :
dunia ya sasa kizazi cha energy iki wanataka kuwasikia watu wa aina ya chioma ila nataka kuwakumbusha mungu yupo na msimzihaki kihasi iko mungu yupo mungu yupo iko siku pumzi yako na kibuli chako kitaitaji udongo na shimo lefu kustili halufu yako ndipo utajua mungu yupo au ayupo 🙏🙏🙏
2025-12-19 17:05:29
83
lastborn_mkinga
Mr Mahenge :
huwezi mtawala mtu mpaka umtishe
2025-12-20 18:24:47
57
diwani.matendo_vi
Diwani matendo_vingunguti :
huyu chionda yupo sahihi sana kama wachokonoz
2025-12-19 12:05:09
153
salhasalim7
❤️salha :
Mchungaji ni classmate wangu mjingamjinga toka chuo sifa nyingi muhaya😄😄
2025-12-19 16:53:30
49
hayabusa7078
hayabusa :
jitu limevaa suti ila kichwa box
2025-12-19 16:36:21
56
omarysella7
omarysella :
icho kitabi tu kama vitabu vingine mchungaji
2025-12-19 12:03:22
33
aisonmrefu2
Aison Mrefu :
Jesus Coming Soon Na ukweli utajulikana tu,, Kama huamini uwepo Wa Mungu mwisho wa Pumzi ndio tutajua hatujui tutatamani hata one second ya kurudi Duniani ili tufanye Mema zaidi ila haitawezekana😄
2025-12-20 15:04:36
10
han_so_vah
han so vah :
Nani aliwahi kwenda mbinguni ? Mbinguni tukafanye nini ? Mimi sitaki kwenda huko 👐
2025-12-20 15:30:21
20
unju_14
UNJU14 :
dini ndio zimekuja kuleta ustaarabu duniani.
2025-12-20 10:55:50
6
machumuessaba
The_Bible_Traveller :
Biblia inasema mpumbavu anasmea moyoni mwake hakuna Mungu.
2025-12-20 15:42:20
12
dullaali3
Eng. Abdullah :
apo ungeita shekhe uyu pasta kichwa box😅
2025-12-19 21:16:35
15
challotte78
yolandaBenz :
bingu gani? 🤔🤔 coz dunia yetu iko kati kati ya Maji? ju ni maji chini yetu ni maji...
2025-12-19 12:51:40
5
yiddyboyking
Yiddyboyking :
hii ni bubulia 😂😂😂
2025-12-19 16:36:40
6
victorking22
VicTor KiNg :
kichwa kimejaa bangi icho 😂😂😂
2025-12-19 18:03:45
6
ljma71
Lvnc :
Watu kukubali Ukweli ni ngumu Tuishi humohumo
2025-12-19 17:42:49
6
myahudi9053
Gozbert Mmassy :
chionda the Great 👍
2025-12-19 21:13:54
25
richadrjackisoni
ayoub :
mungu yup ila mm kwa kwel siamin bibilia kwasababu nitaungan na chiond bibilia siamin
2026-03-31 10:02:35
1
amenntangu
Amenbatik :
Huyo ulimfinya kidogo tu utasikia"Mungu wangu"
2025-12-20 02:50:32
3
user4709202327486
ADUI NYANG' :
religious ni ujinga
2025-12-19 23:58:11
4
sagetti96
S A G E T T I -enix :
HUWEZI KUMTAWALA MTU MPAKA UMTISHE 😁😁 SAHII KABSA
2025-12-20 13:07:01
4
user11401140000
userDouglas 1140pm :
biblia sio maneno ya mungu
2025-12-23 13:52:12
3
erickambaleboya
dragula eric :
siyo takatifu.
2025-12-20 14:14:58
2
To see more videos from user @fikrahuruzamuafrica, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About