@planetmanyanda: Hakuna kuogopa kifo

Manyanda African Power
Manyanda African Power
Open In TikTok:
Region: NL
Friday 19 December 2025 16:23:00 GMT
125830
7918
376
303

Music

Download

Comments

mr_b341
Mr_B :
kinacho adhibiwa ni nafsi co mwili sasa nafsi ndo inayo tambua matendo akili haiadhibiwi
2025-12-19 21:34:37
60
godwinigodwini
Godwini :
Dunia haiwezi kubalance katika usawa wanao amini iunacho kiamini wapo sahihi. Na wanao amini katika Mungu pia wako sahihi Hata ambae ahamini chochote pia yupo sahihi. kinacho itajika katika vyote nikuwa naamani upendo utulivu pale unapo kuwa hai🙏🙏🙏
2025-12-20 11:37:49
36
user4804942874910
user4804942874910 :
haya mambo yanatoka wapi siku hizi
2026-01-31 18:03:06
5
chazymbwambo
30 :
ukifa umekufa na habari yako imeishia hapo
2026-01-26 10:03:47
9
user4185044194534
user4185044194534 :
Kifo cha Ogopwa kwa sababu ;- Aendako Marehemu hakujjlikani !
2026-01-06 11:36:00
10
freedom.fighter0111
NAKURU :
Habari. Naomba uongelee uelewa walk kuhusu ROHO na NAFSI, Kisha uitafakari hio mada Bro.🙏
2025-12-20 05:17:43
18
holygrailinjesus
Jacob $ JB :
ukijua duniani ulikujaje ndo hutomsikiliza kbs huyu msenge
2026-01-13 23:13:30
2
flo.n23
Flo Flora :
mtu mwingine alisema kwahii dunia ninmchezo tunachezwa
2025-12-21 10:59:55
7
sharoncheye
Shaz :
kwetu ni maarifa teletele 🔥🔥🔥 Sisi ni Manyandas familia kubwa maarifa mengi.
2025-12-19 17:07:05
15
raja.blacksanta7
blacksanta :
bhange
2025-12-20 14:47:45
5
mzamiru09
muuminu yahaya :
huna fact unawapoteza watu moto upo
2026-01-01 19:40:48
2
user1010281780343
Bm zube :
unaongea pumbaa asa 😁😁😁😄
2026-01-25 21:06:02
2
avitusjovin
avitus jovin :
watu washaanza kuelimika bana
2026-01-23 17:54:50
2
user128681721785
purity gakii :
kweli kapisha kak
2025-12-19 19:36:31
6
user78661493987043
tale :
msinchwele mm sio ngwele
2026-02-01 22:45:28
2
dully.nice
DULLYNICE🪢 :
Sjaelewa kitu
2025-12-20 09:19:55
5
wutang6006
Millan :
wanasema moto 🔥upo, mtawaliwe Tena
2026-02-05 10:58:32
2
kalebyhennry
kaleby hennry :
uchizi
2026-01-01 22:03:11
2
pascalreginald
Pascal Reginald :
bro we ni nomaa napambana nikukute kwenye hii dunia uniachie hilo fuvu
2026-02-03 09:41:12
1
abedijabiri828
haruna :
uelewawaka bado sana pole yako
2026-02-02 12:13:35
1
bwana.h7
bwana h :
sasa hiyo akili yako amekupa nani
2026-02-05 18:03:15
1
imraniabuubakarim
MUUH FURNITURE DESIGNER :
we broo ujui ata unachokiongea
2026-02-03 19:51:58
1
josephruda1
user4236700457356 :
Mbona jamaa kavaa nguo za msalaba?
2026-02-02 13:38:01
1
abouculture2770
G2@45 :
Mh bado utakuja jua
2026-02-02 21:39:28
1
mamboleomumbere
vallant nègre mamboleo :
kaka nakupa pongezi endeleya ivo ivo wa afrika tu amuke
2026-01-16 18:26:28
1
To see more videos from user @planetmanyanda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About