@nissah_og: KIKULACHO BY NISSAH WAHI KASKILIZE ALL DIGITAL PLATFORM PROD@MALLEY PRO @leyshan🦋🦋 @Jasmah🦋🦋 #fyppppppppppppppppppppppp #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

Níssãh🥀🌹
Níssãh🥀🌹
Open In TikTok:
Region: FR
Saturday 20 December 2025 07:26:07 GMT
1144339
54689
989
1037

Music

Download

Comments

malikia.mpole
mke wangu😅 :
huna nywele ndo mana umejistiri 😂😂😂
2025-12-20 10:02:50
88
annie.annishier
🦅⌚️ANNIE LOVE🇰🇪 🦅 ♑️ :
kwani ni kesho twendee naloo😂😂😂😂
2025-12-20 21:04:33
191
mamasboys70
MRS BALI🫶🫶 :
Huyu dada anajua kujistiri sio kama kina fulani kule pembeni 🤲
2025-12-20 10:21:49
85
mick.chicago
Mick Chicagø :
nikipata kama uyu nafutaa namba za matapeli woteeh kwenye simuuu
2025-12-20 11:17:22
38
mateoke3
Mateo ke :
mbona kama anajua 😅 sana uyu mnyakiusa 🤝🫩😅
2025-12-20 19:45:08
52
mwanaishamwana945
Mwana-Aisha003🐝🐝 :
hatukatai una kipaji mamaa bt ww muislam ujue
2025-12-25 18:06:32
10
mayahushi2
🦋Mrs Kassim🦋💍❤️💍 :
ex wa Nissah atakoma😂😂
2025-12-20 19:17:06
12
ahmedsalim1250
Ohä🥷 :
Nissah unajua san kuimba napend san nyimb zak, kam na wew unamkubal tujuane
2026-03-04 16:46:54
6
minywele45
mbeba lawama💀☠️👽 :
ila ww ukivaa ivo unapendez kwel 🥰 kuliko tishet na surual
2025-12-20 12:17:20
25
bbyminaah.mussa
Bbyminaah Mussa :
inaitwaje
2025-12-20 07:40:18
19
naseebomary560
Naseeb :
kwishaa lamam umemalizzaa enyew
2025-12-20 21:30:38
7
terriankizn
terriankizn :
nakupenda ww dada unavyo imba👌
2025-12-20 08:24:07
31
salmashehee
Salma Shehee :
Mimi napnda mavaz yenu tu wallah munavyojistiri Allah awazdshie🥰🥰
2025-12-20 11:51:04
24
user9063961598162
ommy ommy :
nakupend jmn..🥰🥰 good vibe
2025-12-21 20:45:14
6
imam74226
Johar Said :
mjamon I like nimeirudia mara kumikumi umenisababisha niweke MB kwenye sim ya watu nakupenda bure ❤️
2025-12-30 17:53:09
5
mbaga66
The Great King :
Nyimbo zako nzuri we fanya kazi
2025-12-21 21:10:37
5
mustamirah28
mustamirah love ❤️ :
nakupenda2 icho kisauti hubbty🥰🥰🤭
2025-12-21 20:32:33
10
mbegawinter
DISNEY 🐕 :
ana sauri nzuri jmn😂
2025-12-21 20:40:14
5
nassir95023
Nassir9502 :
wacha weeh 🥰🥰🥰
2025-12-20 09:30:59
19
diaabdull
Dia Abdull :
Wasafi please tuachieni hawa msiwaaibe...Mkampoteza Yammi hawa.❤️❤️
2025-12-21 08:09:08
7
.dadys.princes
✨ Zapharan Muna..❤️🫂 :
unajua bhn🥰🥰
2025-12-20 13:47:10
9
momodecute4
momo og🥰 :
huy wanyuma nilijua mzimu wako au basi☺️😆
2025-12-22 05:48:27
5
katompa34
"👑ericco nouma👑" :
ngoja na mimi nikuseme unitolee wimboo😁😁😁😂😂
2025-12-20 09:42:36
9
khamicychugga
khamicychugga :
mashaallah nisaah Allah azidi kukuongoza katika kazi zako👌
2025-12-20 16:56:42
5
africanqueenrebbyfash
Rebby fashion :
Wanyuma sasa kama aoni mwenzie anajishuti🤣🤣🤣🤣
2025-12-22 20:50:55
6
To see more videos from user @nissah_og, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About