There's nothing like boyfriend and girlfriend in islam.
2025-12-22 08:55:32
18
baesally :
Mleta habari haamini 😂😂😂😂🙌
2026-01-06 06:03:48
3
Joseph Chidangu :
uko poa
2026-04-20 20:13:50
1
yusufu phone 📱 tz :
acha zarau ww
2025-12-22 05:06:13
11
Issa yurry3 :
Nimegundua kitu kutoka kwako
2025-12-25 02:25:15
3
zubeida zuhura :
Bana weeh kheri inshallah 🤲🤲🤣
2026-02-04 06:21:28
1
biba_boo3 :
wangu aliposa na akanifata nchi jirani,usiku wa nikkah yake pia akawa na mimi alafu 3days after wedding akanifata tena eti twende wote Zenji nkamkatalia coz main alikuwepo sasa jamaa uchungu honeymoon nzima alikua anapiga simu akikata maninaa
2025-12-22 17:28:31
7
🎀halima🍭🎀 :
kheri yake amepata janga la dunia😂😂
2025-12-25 11:17:54
2
Sapnahya💖❤😘 :
kwani kaanza yeye kuoa
2025-12-22 09:45:34
5
Minnie jas☘️💕 :
🤣🤣🤣 eeenh
2025-12-25 09:54:34
2
Neylaty🌸🌹 :
Wangu kaoa jana Allah ampe maisha marefu
2025-12-22 16:04:43
11
Amerneh :
muhimu asinikose card ya Hall tuh na anipe tarehe kabisaa ya nikkah sina uadui mm na mpunga,sepe na amri thuzi asubui🤣🤣