Nliangusha wiki iliyopita nikiwa kwnye changalawe nikiwa juu ya pkpk haloo nliogopa kwenda kuiokota ila Alhmadulillah baada ya uiokota nlikuta imepasuka protector tu kioo kiko safi kabisa nlibadil protector ikawa mpya tena
2026-05-18 09:58:56
2
Antony andrea :
mm nataka kujua jina la hiyo movie hapo kwenye tangazo lako
2026-01-02 20:42:37
1
Official-irene27 :
Ngoja nipambanie hii A16 na bado naipenda A17 inipite
2026-01-12 03:04:31
2
asifiwesharoni :
camera siyo zur
2026-02-06 16:36:50
0
elly❤ :
duuuh kumbe camera mbaya🤔
2026-02-07 17:30:39
0
monika :
Bei gn
2025-12-30 12:47:23
1
Mr. Amigo :
mambo vip
2026-01-08 07:59:52
0
waheed wageeq :
namie nnayo juzi nimenunua camera sio nzuri
2026-01-09 16:03:13
0
dey ...they call mi 💓 :
mbona camera nzu ri nimechukua setting yako tu
2026-02-18 16:48:21
1
athumanmpongwe :
nilikuwa naomba uelezee utofauti wa GalaxyA17 na Galaxy a26 na ipi ni unyama man hta sielw npte na ipi natak nkanunue
2026-03-06 20:58:44
1
Aihaam :
bei
2025-12-25 10:37:15
1
leil :
nisaidien sehemu ya sms haionyesh delivery report na nmepawash sion vile vitik
2026-01-09 18:42:05
1
Ritchie_Roofing_Services :
👍👍👍
2025-12-23 04:42:29
0
👑KASSIM✌️ :
💯💯💯
2025-12-24 06:12:15
0
BarcelonaFan_Tz⚽️ :
shingapi hii
2026-02-16 17:51:28
1
mary🦋💍 :
hii je shngp a16
2026-02-07 10:55:48
0
To see more videos from user @snashtz, please go to the Tikwm
homepage.