@gubento804:

HASSAN
HASSAN
Open In TikTok:
Region: QA
Tuesday 23 December 2025 07:24:52 GMT
714048
47539
601
14200

Music

Download

Comments

user1755300000148
Mama Boys 44❤️❤️ :
Huruma hamna sheikh,angekua na utu hangetangaza mapungufu yangu kwa hawara wake,inauma sana sheikh. Dini iko wapi hapa????
2025-12-24 07:34:49
149
www.tiktok.fathiyajelani
Fathiya Aljelani :
Hana huruma sheikh mpaka kwa watt. ni chuki na uovu
2025-12-23 14:11:05
76
spursbeauty
SPURS BEAUTY :
from comments section mbna mwafanya tuogope ndoa😫.......
2026-01-13 05:28:13
11
kamz19961
Mama milyas :
Alhamdulilah nashukuru Allah kunibless na best busband , may Allah keep him safe for me and our two babies such a nice human being ,may Allah grant him best of this world and akhera 🥰
2026-01-06 06:38:00
28
aminasuleiman38
[email protected] :
Broken heart 💔 😭😭😭
2026-01-19 12:33:28
5
samirxidigasanadka
SAMIR✨ (One Heart 🫀)𓃵✅ :
Jamani wanawake pia Hawana huruma 😂😂..kwa sababu Akikuzoea sanaa Anaanza madharau..Na upendo inapungua.. Badilikeni na sisi pia Tubadilike 🥰🥰🥰🥰..mapenzi irudi kama mwanzoni
2025-12-31 03:48:08
9
user7873716123744
user7873716123744Abi Girl :
Naomba mungu mzee wngu apate ajali afe nasiwezi mzika ,nilipea ata wtt wangu majina ya waisilamu how do I change them😭
2025-12-25 14:51:35
12
user7057909418797
user7057909418797 :
nimesoma comment mpaka nimelia😭😭mno jaman poleni San wanawake Bado wananyanyasika mno kwenye ndoa zao😭😭 yarab tuhurumie waja wako🙏wabadishe waume zetu
2025-12-28 08:38:30
70
ruwaishaabdi
Ruwaisha :
Mm nilitamani afe Mpk nikaamua kuondoka juu ya maumivu,Maana maali nilifika ningemuua mwnyw,Mungu anisamee
2025-12-26 11:08:57
8
user5607601451616m
Sisters fashion :
mm bado kukoroga red cat kwa chakula tuuh nampa mda aone mwaka
2025-12-25 13:38:44
7
slimboy44
Sheddy :
na ukimfumania na mwingine
2025-12-23 17:57:05
5
user13582969930872
nasra yassir :
mimi nina mwaka nimechoka hata mtt nae bado izo dharau dah😭😭😭😭😭
2025-12-26 12:05:13
7
imsabraah
I'm Sabraah♥️ :
Ndoa Za Sikuhizii Zimekosa Huruma kabisa 😭mungu Atupe Watu walio na huruma juu yetu💔
2026-01-02 20:00:32
8
aisharamadhan963
ushy :
subhanallah this happened sote , twavumilia lkn nlitoka mm nlishindwa very pain Tena anicheka na hawara ya Allah nipe subra😭😭🤲
2025-12-31 11:21:56
5
khatibu1987
[email protected] :
Mungu atujaalie Waume wenye izo sifa
2026-03-10 08:14:23
3
merdynhima
merdynhima :
ALLAH atujalie waume wenye mahaba na wenye dini
2026-01-05 06:23:26
9
user2150810002840
991389 :
sheh mungu akutunze uishi maisha marefu
2025-12-23 12:25:54
14
user52277194742734
aisha :
nikweli chekhe mungu akubariki sana
2025-12-23 12:29:51
8
hottie_totty
Sadah-Cute❤️🥰 :
Poleni kina mama wenzangu Allah awape furaha kwenye ndoa zenu 🤲🥹❤️comment zimeniumiza sana
2025-12-26 16:28:23
8
user8680137253055
Martha Ayuma. :
mi ni mkristo.huwa nakufatilia sana.nimependa haya mafunzo👌🥭🥭
2026-03-10 02:35:34
3
mercyatieno691
mercyatieno :
Wangu bado nafikiria kitu ya kumfanyia
2025-12-25 14:36:22
3
asilaharith675
🤑✌️ASILA'SCOLLECTION 🤑✌️ :
hawana huruma 😁😁😁😁 ila niko na mwenye huruma 🫂🫂Alhamdulilah
2026-01-14 04:52:04
3
salhabeby
Salha Fina :
mung aingilie kati kwenye ndowa yang🤣🤣🤣
2026-01-03 09:25:37
4
mwasham.said55
Mwasham Said :
yarabiii nijalie mume mwema mwenye huruma,upendo,na mwenye hofu na Allah🙏🙏🙏
2026-01-09 05:29:38
4
user3466502085201
66121095chïnø wãnamãn ahmediii :
Illa wanawum niwakina Sina wema
2026-01-04 10:02:40
3
To see more videos from user @gubento804, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About