@didashebbs_kitchen: MKATE WA UFUTA #mkatewaufuta #hadijasheban #TheExeYouLove

Hadija sheban
Hadija sheban
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 23 December 2025 09:36:51 GMT
157423
5032
63
512

Music

Download

Comments

naz_chef
Nazia :
nioneshe vile unafanya cinnamon rolls zako please
2026-01-16 11:33:06
1
sabaah335
Sabah mohamed 🇮🇪 :
We need this how to cook this please 😭😭😭😭
2025-12-23 13:02:06
27
na_imajuma
Naima :
haya sasa recipe ya rojo sasa😫
2025-12-23 09:46:28
50
riritreats_
riritreats_ :
The recipe ya hio mchuzi mpenzi😍🥹
2026-01-14 12:42:51
4
samir.bazaar
najma kimosa :
mbona umeifunga hatuwezi kudowload
2025-12-23 12:14:31
0
siham_salim23backup
Siham_salim23backup :
watu wmeona mapishi mm nimeona bei ya pan😂😂
2025-12-23 10:38:01
14
ennijayson057
Enny jayson🇩🇪👑 :
iyo mboga umeiharibu
2025-12-23 16:06:55
1
bala20256
Bala hatun :
ni haki hii kutudondosha mate namna hii 😂😂😂
2025-12-23 13:09:58
2
m.g9006
[[M.G]] :
food somaali
2025-12-23 13:27:04
1
_.zahrat
zaroo 🇰🇪🇷🇼 :
MashaAllah ❤❤❤
2025-12-23 12:45:48
1
hannahhassan089
Hannuu😍 :
Mkate wa ufuta wenye mafuta😂😂 Anyways kazi safi👏
2025-12-23 10:54:03
2
fatma__aweis_
F A T M A 🌸 :
Hiyo mtuuuzi vp 😂
2025-12-23 10:03:59
0
afroqueen.sanura
AfroQueen 🥰Sanura 🌹 :
haya tupe recipe ya hilo rojo la samaki please 😌☺️☺️
2025-12-23 14:32:02
2
__ugasda
😂😂 :
muufo update ah waaye 😂😂
2025-12-23 12:04:04
4
bravemamy3
brave girl :
unapka unavopenda ila mm hua siek mafuta ata kdg ni maji ya chumvi tu yanatosha
2026-02-12 07:51:47
1
user49192396849163
HAPPYNESS IS FREE :
Lovies as per Mimi kabla nianze kuchoma mikate pan naiweka motoni naisugua na chumvi 1st, drizzle salted water na choma mikate
2025-12-23 11:04:20
1
bintihamisi671
bintihamisi671 :
waaah 🤣🤣
2025-12-23 11:22:56
1
tumastar0
tumastar0 :
Comoro 🇰🇲sisi kuna aina mbili za mkate wa ufuta ; kama hii yakuchoma na mkaa na ile ya kuweka mafuta , but wamafuta unga unakuwa light kuliko wa mkaa
2025-12-23 11:23:53
3
khadija_omar82
mummy :
kuna wengine wapaka mafuta bt olive coz kuna kama sisi hatuli butter wala samli safi
2025-12-23 16:38:34
0
shaz30492
shaz :
mmmm kazi ipo
2025-12-24 07:53:58
0
khadija_omar82
mummy :
n mashaallah stil ni mkate wa ufuta dear
2025-12-23 16:39:14
0
babeevanaah
baby vanaah💪❣️❣️ :
ilaa kunaa watu wanajuaa kupikaa asee🤔
2026-01-12 11:33:02
0
user6251528104732
nyalenda :
hiyo rojo inakaa tamu nifundishe
2026-02-20 11:25:11
0
starastyle003
stara styles🧕💗 :
my favorite
2025-12-24 14:35:05
0
zubeab92
ummu salim :
mashaaAllah
2025-12-23 10:41:01
0
To see more videos from user @didashebbs_kitchen, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About