@muu.saleh: MY MAN DID NOTHING!!!!🤪❤️ #fyp #viral #truestory #leeminho

Muuh saleh
Muuh saleh
Open In TikTok:
Region: DE
Tuesday 23 December 2025 09:43:33 GMT
188705
8470
259
93

Music

Download

Comments

zelikha72
Ms_Gaga❤️‍🩹😎 :
Sasa hapo amenenepa jamn waje waone before na after ya SHAFII BRAND😂😂
2025-12-23 15:11:30
210
ummuhalima4
The woman king :
Excuse me, Lee Minho is my man
2025-12-23 12:34:57
83
abshira.ally
Abshira Ally :
wakorea wana roho mbaya sana
2025-12-23 10:38:46
120
shyma229
🙈🙊 :
Sasa mtu asijilie mamsabagula na ma chainizi jaman😂
2025-12-23 20:33:56
19
riyaqkassim
riyaq kassim :
sasa mm na ww ni marafiki coz napenda sana story za Korean,na about suga from BTS???
2025-12-31 19:24:04
7
honey_kessy11
honey_kessy11🌹❤️ :
mtu asile mamsabagula na magogogo akanenepa jaman Korea?? 😏😂
2025-12-23 10:47:11
31
itssuna7
🦋suna 🇹🇿🔑 :
korea wanashida sana why kwani mtu hasi nenepe khaa
2025-12-23 17:23:46
13
dogopau
JUDE GIRL💜BTS 🇰🇷🇹🇿 :
kwahiyo asizeeke wakorea jau sana😂
2025-12-24 06:47:26
25
khaisaty
khaisaty :
mondi angekuwa Korea asingekuwepo dunian
2025-12-23 11:42:53
65
patrickandrea406
PEOPLE :
made in korea ni movie kali
2026-01-23 07:52:18
1
leluu386
Leyla✨️✨️ :
kumbe wasanii wa Korea kunenepa ni shida na mtu asibadilike Asa jmn kwanza mimi naona kawa mtu mzima siyo kama zamani
2025-12-23 10:23:06
37
future.boss.lady
future boss lady❤️🪽 :
Korea wanapenda sanaa bulling 🥺
2025-12-29 00:55:23
2
reymandegirl
reymandegirl :
Bado handsome bwana tunampenda hvy hvy😘😘😆😆
2025-12-24 16:13:04
9
zedfaluu1
Zoya_Jimar🕊️🦋 :
Ur man or our man ?🤣😂😂
2025-12-24 10:17:36
5
mukofya
Lizzy💕🎀😇 :
Si ameshakua mtu mzima jamani awa ma shabiki ndo wanasababisha wasani wa ki Korea wanajinyonga 😳
2025-12-23 11:23:13
9
andreafelistaandr
Andrea felista Andrea felista :
embu tupumzishe na ww
2025-12-31 15:00:48
1
fadyanmsdr6
90's :
Huyu nae ni salman khan wa korea
2026-02-01 10:14:46
2
chichiakashal
chichia-kashal :
kumbe na wao n kama tanzania🤣🤣 nkajua akina lokole n huku tu
2026-02-02 16:23:40
1
gilchae55
Gil chae :
wanatabia mbya hawa
2025-12-23 09:54:32
10
ecosystem220
Mini Mini @🥰🥰🥰 :
Wakorea yaan inshort watu wa Asia ni wabinafsi sanaa ukinenepa wanakusimanga sana yaaaan wote,,,,,, ndio maana wengi wao wanajiua kwa mawazo
2026-01-28 18:47:30
2
wessaomarif
Faustianho 🇺🇸 :
Wana member wa BTS wanapitia mengi 🤣
2025-12-26 00:27:19
3
victoriaheaven03
HEAVEN 🍀 :
Me laughing at the girls saying lee min is their man while he is my man 😂😂
2025-12-25 22:00:54
3
its_dee_again
Its_dee_again 🥀 :
not uh calling him "my man" 😭😂😂😂
2025-12-25 03:36:42
1
user93439515618131
Mariamhakim25 :
Duuh😅
2026-01-10 12:34:16
1
neyvoice2
neyvoice2❤️🌹 :
ooooooh wait wait wait your what?😂😂😂
2025-12-23 14:41:35
3
To see more videos from user @muu.saleh, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About