@madam_leila: Huwezi kupona, cha msingi ujifunze kuishi bila uwepo wao.

Madam Leila
Madam Leila
Open In TikTok:
Region: US
Tuesday 23 December 2025 13:19:40 GMT
56828
2801
59
175

Music

Download

Comments

ahlan805
ahlansalomiddo :
Allah awarehemu waliotutangulia🤲
2025-12-23 13:37:54
17
babe_joy3
Miss p♥♡ :
mung amlehemu baba Ang nampenda sana
2025-12-23 13:46:20
7
maryamyahya_mchk
Mariamyahya124💋 :
kingne ni kuishi kwa Yale waliyo yataka kwetu na memories zao📌
2025-12-25 10:33:52
3
fatuma.lihame
Fatuma Lihame :
mung amrehem mam yang jmn na ss wengine tuliozaliwa peke yetu mwenyenz mungu mpe Kaur thabit
2025-12-28 18:09:31
2
user6178294426039
user6178294426039 :
Allah amrahamu bbngu ampanulie kabri yke na wapedwa wetu wote
2026-01-03 10:09:34
6
abdurazak.mohamed6
Abdurazak Mohamed :
allah akulinde madam
2025-12-24 05:28:01
2
hawa00976
mama mtu🌹❤ :
Allah Awarehem wapendwa wetu walio tangulia🤲🤲😭😭😭😭
2026-01-02 14:56:28
2
witnessseleli405
witness seleli chobo :
mama ang 😭😭 30 bila ww mama umeniacha mdogo sana Leo natamani wajuku zako wakuone wananiuliza 😭😭😭💔💔 mama tutaonana baadaye
2026-01-03 19:58:33
1
user4876922153000
user4876922153000 :
Asalamua'laikum Madam Laila shukran sana kila siku naendelea kujifunza mambo mapya kutoka kwako Allah akubarik
2025-12-30 19:57:23
1
faridamagige
faridamagige :
kweli kabisa madam leila
2025-12-28 03:36:32
1
ummutash
dodo :
alhamdulillaah. huwezi kuwasahau lakini ukubali kua unatakiwa kuishi bila yeye na maisha lazma yaendelee. ni ngumh sana
2025-12-24 04:27:35
2
tulitrinagal28
queensultana :
alhmndulillah 🥺
2025-12-23 14:34:14
2
hameedahameeda10
hameedahameeda25 :
nikwel kabisa
2025-12-24 09:25:02
1
aisha.ali6485
Sumaya Ali :
alhmaduilla ☺️
2025-12-23 15:18:59
2
leyla.isambe
Lela Isambe :
Nakupenda wa jina ningumu cn mmmmh Acha two😭😭
2025-12-23 15:52:57
1
kajembe.halma2
kajembe.halma2 :
Alhamdulilah
2026-01-01 06:50:26
1
mohammedakhui
Mo.akhui :
hakika
2025-12-30 20:24:18
1
muslims_heath
muslims_heath :
kweliii
2026-01-09 21:47:38
1
user8397228702056
chiku :
ALLAH amrehem mama angu tangu aondoke ni mitihan tuu kwangu.😭😭😭
2025-12-25 09:05:49
7
beb_rayy
babe_ray :
mungu akufnyie weps nakupnd unaongea maneno ya hekima
2026-03-12 14:36:28
0
user327208151472
user327208151472 :
uko sahihi madam
2026-02-22 17:33:54
0
zuhurasizamani
_ibra_the-do'ne :
Allah. warehemu
2026-02-13 16:57:38
0
mamakefatuma
Rahima Mohamed :
bababgu😭😭😭
2026-02-08 16:40:15
0
shamilamahuna
Shammym :
Pumzikeni kwa amani Baba na kaka yangu, nawakumbuka sana😭
2026-02-06 14:20:29
0
kim.dadii
cute 🥰 :
leo umezidi kuongy jambo zuri sn kutufarij Allah akulaze mahala Pema peponi mama yangu 😥
2025-12-23 14:22:09
0
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About