@taarabu_za_zamani: #taarabuzazamani #mwambaowapwani #taarabuchallenge #taarabu #taarabulover❤️🇰🇪🔥 #tiktoktanzania🇹🇿

taarabu za zamani
taarabu za zamani
Open In TikTok:
Region: FR
Tuesday 23 December 2025 14:56:05 GMT
328887
12589
352
550

Music

Download

Comments

sweet.sweet0177
chichi_bella✨ 🦋 :
Zilipendwa zilipendwa sina haja nae tena nimemtapika sina hamtena😂😂😂😂😂
2025-12-24 10:17:27
27
salma.200261
💞Miss chama 👑🦋 :
Mmh mm wa 2002 naijua yote cjui 2002 gani 😂😂 waongelea
2025-12-25 07:31:20
30
mrsluchoog1
SAMAH💕 :
Nyimbo yang pendwaaa👌
2025-12-24 22:32:24
5
azilicious14
♐ :
taarab nzuri bana weee aya inaitwaje na kaimba nani
2025-12-25 12:48:23
1
user4670055011680
🦂 :
nan anajua kitambaa Cha kanga kavu kwanza 😂hao wa 2000🤣🤣
2025-12-24 15:26:07
2
zeddykidy
zeddy Kidy💦 :
zilipendwa zilipendwa sina haja nae tenaaa✌
2025-12-24 07:07:58
8
aprilfaso.april
APRILFASO APRIL 🇹🇿🇨🇻🇧🇳 :
twazijua vizur
2025-12-24 16:18:14
0
smiles0126
smiles_126🤍 :
Inaitwa zilipendwa buana😂🫴🏽
2025-12-25 14:23:47
2
joyces251
jojo :
wakurungwa tupo wengi🤣🤣🤣🤣
2025-12-25 03:30:23
0
beautyaisha6
aisha beuty@ :
nahiii pia naiweza nipe yengine😅😅😅😅
2025-12-24 10:13:48
1
sophie.julius6
Sophie Julius :
kama huko ndo kupata chukua ufaidike 👌👌👌👌
2025-12-24 09:51:26
7
albadr.albadr0
Albadr Albadr :
Tunaijua na hii pia
2025-12-24 10:09:42
1
laghai.kapilima
Don,Rey🔥 :
Tena nacheza taratibu 💃💃💃 sirushi ngumi hapo 😂😂😂😂
2025-12-24 10:27:16
1
fatuma7496
Fatuma :
usinikumbushe
2025-12-25 04:46:06
1
mishy7237
Mishy♥️ :
tsunazijua zote hizo😂😂😂
2025-12-24 15:29:44
0
marrinamailla
MARRINA MAILLA :
halooo
2025-12-25 03:58:45
0
kap_tz
Kap👊 :
Tunalicheza sebene, shibe yangu shibe yake love this song ♥️♥️
2026-02-11 19:34:44
1
hadijasalum835
khadija :
ex wangu chukua chuma icho zilipendwa
2026-01-04 11:16:34
2
ummymalasa
Ummy Malasa :
me w 2000 n naijua😂😂
2025-12-24 14:48:40
0
ukhtysalha6
zuuh :
pambe tyuu 🤣🤣👌❤
2025-12-24 10:14:09
1
mshirazi.mbuli
Mshirazi Mbuli :
me ni wa 2000 ila nazijua albamu zote za africa melody Morden taarab....hii albamu yake nyimbo ya kwanza ni utalijua jiji ya afua suleiman ya pili ni munaungulika ya aisha othman ya tatu ndo hii ya nne ni umejuaje kama si umbea ya mwanaidi shaaban..nimezaliwa 2000 hizi taarab ni za 2005 ila nazikumbuka mpaka beti zake
2026-01-02 12:24:23
3
ilysm2568
Nanah💕🦋 :
Taarab yangu pendwaaa…msijibanze na kuta kivyangu vyangu kivyake😁
2025-12-25 05:08:53
0
user5455680708232
Qeen Momo og :
zilipendwa zilipendwa sinahaja nae tena🤣🤣🤣
2025-12-24 12:52:08
0
gee_prints_solution
Gee_prints_solution :
Sikuambiwa yupo niliambiwa wapo 😂😂😂😂
2025-12-24 20:48:31
0
To see more videos from user @taarabu_za_zamani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About