@upakolive: BUSU LA MZUNGU

UPAKO LIVE
UPAKO LIVE
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 23 December 2025 19:37:22 GMT
405859
11893
1703
2367

Music

Download

Comments

shaxyyy6
M!M!🫧🦄 :
Upo busy TikTok,unashangaa unamkuta mama ako anatoa ushuhuda kachumiwa na Mzungu uwii😅
2025-12-24 03:03:33
492
young_kidari
Young_kidari :
Ivi muna uwakika watu sikuizi wanazaliwa na ubongo 😁
2025-12-24 06:44:06
680
patience23126
🇹🇿🇸🇴 :
Anazeeka vibaya huyu🤣🤣🤣🤣🤣
2025-12-24 03:02:18
100
osmanmussa2
CHIMPANZEE :
tunanenepesha uume kwakutumia nyuki
2025-12-24 08:34:20
45
clementinaherbs
DAWA ZA KIHAYA :
😂😂😂aibu nyingine ,yaani kama misukule vile
2025-12-23 19:51:11
171
fettynathan
Chef fetty :
Sio waturuki wauza vyombo😀 ww jichanganye 🏃‍♀️
2025-12-25 07:10:19
10
adamina.leornad
minna lee :
hiii inchi ndomana hawaogopi kutuua kama kuku
2025-12-24 08:49:56
53
paschal.madini
paschal 🤝💎 :
Hadi uishe huu mwaka tutaona mengi sana😂😂😂
2025-12-23 20:54:01
61
veronicer5
Veronicer🍀🩵 :
Ww hujakutana na mzungu ww umekutana na mzungukaji 😄😂
2025-12-24 21:52:48
5
miry_miry
miry ❤️ :
Mda mwengine Mwamposa hana kosa 😂
2025-12-24 13:28:39
9
xiangh14
` :
😂😂😂 ndy maana mm sitakagi mama angu aende huku,, nisijekutiwa aibu
2025-12-24 07:01:32
7
veememe95
Ms95Vee :
aibu naona mimi😁
2025-12-24 07:29:38
10
trillionairegeneration
️ :
Tangu Corona ilivyoingia bongo akili za watu hazipo sawa😂😂😂
2025-12-24 15:10:36
7
denocruzz
Denocruzz048 :
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
2025-12-24 08:51:23
5
witnesskayombo825
scorpion🦂 :
wajinga ndio waliwao
2025-12-24 10:53:03
7
tina.raphael1
Madam Chioma❤️ :
sijawahi kunichumu mzungu mtume😂😂😂
2025-12-24 09:50:01
5
stelalushinge
millah :
😂😂😂😂 mungu Ana watu wengi Sanaa Hallelujah
2025-12-27 16:28:46
5
a.oppa6
Abuu :
huu usiku wa mkesha wa wacheshaji
2025-12-24 05:33:57
8
eldanwapaster2
Eldan Wapaster🇹🇿🇺🇸 :
Wahenga leo wameshinda, kuishi kwingi kuona mengi..
2025-12-24 02:16:22
8
msofeviatu1
msofeViatu 👞 :
Unakuta mwanamke wako anataka mwanaume wa nje ya nchi 😂😂😂
2025-12-24 07:04:54
5
johany092
Johany🦋🧚‍♀️ :
dah kweli ndo maana Mungu alijificha maana kuna maombi mengine ni maajabu🤣🤣🙌
2025-12-24 07:44:35
7
rachelpaul7476
Rachel mtweve :
busu tu unataka ndoa we haya😂😂😂
2025-12-24 08:00:17
5
michaeljoel935
Jodie :
yann akili nyingine hizi MUNGU anisamehe kama nakosea,akili haiko sawa hapa
2025-12-24 01:22:37
13
ney.jojo
jojo kidot🍭 :
mwamposa mbn una kazi
2025-12-24 11:32:10
5
dotto.m1
@dotto.m1 :
😂😂😂😂😂wangapi tulichumiwa na wazungu na hatujasema😂😂
2025-12-24 05:48:09
7
To see more videos from user @upakolive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About