@v_chimammy.23: Ilikuwa siku ya fraha San 🩷kukutan na family yangu kufrahi pamoja kushelekea krismas kwa umoja hop kuna watot wa mamkubwa na mamdog nawapenda San ndug zang 🫶🏻tumetoka mwish wa leli 🚞tumekuja kupamban ugenini Mung atutie nguvu tusichoke 🙏🏻🥰🥰